Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Si tunaambiwa CCM hakuna vijana?Sasa hawa ni wapi?Isijekuwa wachama kingine,wamevaa tu ki CCM.AMANI kwanza,mengine baadaye.Bendera Zilitundikwa Jana za Chadema Jiji La Mwanza Leo ASUBUHI Vijana Wa CCM wamezichomoa Zote Huku Askari Wa Usalama Barabarani Akiwepo Wanaangalia..
Fujo wakifanya CCM Ni Sawa Ila Zikifanywa Na CHADEMA NA UKAWA Zile Gari za Washa Washa Zinaletwa
Picha hizi HAPA..