Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

Bendera Zilitundikwa Jana za Chadema Jiji La Mwanza Leo ASUBUHI Vijana Wa CCM wamezichomoa Zote Huku Askari Wa Usalama Barabarani Akiwepo Wanaangalia..

Fujo wakifanya CCM Ni Sawa Ila Zikifanywa Na CHADEMA NA UKAWA Zile Gari za Washa Washa Zinaletwa

Picha hizi HAPA..
Acha zing'olewe tu maana hamna namna ya fisadi kushinda. Mtu aliyejinyea na anatembea na pampasi na ambaye si mwanachadema hana mpya
 
attachment.php

Nimeshangaa kumuona askari wa usalama kasimama kwa pembeni akishuudia tukio.
kama ni kweli, harufu ya damu kwa mbaali naanza kuihisi. sio haki.
huyo ni askari wa usalama wa barabara, ulitaka awaombe kadi ya gari na kuwafa faini?
 
Waache waziondoe kwani UKAWA wangetakiwa kuziondoa leo saa 12, Ukishindana na chizi nawe utakuwa chizi. Kama mmeshagundua njama za fujo kaa kimya waangalieni kwani wanaweza tumika kuwapandisha hasira mkajibu wakapata njia ya kupitisha yao. kazi ni moja tu kesho kupiga kura hakikisha waliokuzunguka hawachezee hii nafasi.

Kweli kabisa, inaweza kuwa ni mbinu ili vijana wa Chadema wa ki react waonekane wanavuruga amani kisha wakamatwe na kuwekwa ndani kura zipungue.
 
_/
Bendera Zilitundikwa Jana za Chadema Jiji La Mwanza Leo ASUBUHI Vijana Wa CCM wamezichomoa Zote Huku Askari Wa Usalama Barabarani Akiwepo Wanaangalia..

Fujo wakifanya CCM Ni Sawa Ila Zikifanywa Na CHADEMA NA UKAWA Zile Gari za Washa Washa Zinaletwa

Picha hizi HAPA..

Dar VIJANA wa UKAWA wamefunika jeneza la CUF bendera ya ccm.wote acheni uhuni
 
kuna kitu kinatengenezwa na kwa mtindo huu ccm waseme tu hakuna uchaguzi make naona uchaguzi unafanyika kiini macho lakini hawako tayari kuachia madaraka.
 
Wana ukawa msilipize kisasi, hiyo ni mbinu ya ccm mfanye fujo wawaweke lock up mpaka uchaguzi uishe.
 
Kurudisha ccm nisawa nakujitakia Vito hospitali za serikali manes I NA madactari wamekata Tamaa kabisa
 
Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah:behindsofa:
 
Bendera Zilitundikwa Jana za Chadema Jiji La Mwanza Leo ASUBUHI Vijana Wa CCM wamezichomoa Zote Huku Askari Wa Usalama Barabarani Akiwepo Wanaangalia..

Fujo wakifanya CCM Ni Sawa Ila Zikifanywa Na CHADEMA NA UKAWA Zile Gari za Washa Washa Zinaletwa

Picha hizi HAPA..

Kama wanaujasiri wa kungoa picha za chadema inaonekana kwa mwanza ccm wana nguvu.
 
Kuna maisha baada ya uchaguz ndugu za wa Tanzania, Tuindeleze aman tuhubir aman na tuimbe aman, uchaguz wa aman na tukubali Matokea ili kuepusha machafuko yasiyo ya lazima. Kura ni haki yako kura yako n ya thaman nenda kapige kuraa uchague kiongoz atakao itaoa nchi yetu kutoka apa tilipo
 
Back
Top Bottom