Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

Mwanza Tete; Vijana Wa CCM Wang'oa Bendera za CHADEMA

Waache waziondoe kwani UKAWA wangetakiwa kuziondoa leo saa 12, Ukishindana na chizi nawe utakuwa chizi. Kama mmeshagundua njama za fujo kaa kimya waangalieni kwani wanaweza tumika kuwapandisha hasira mkajibu wakapata njia ya kupitisha yao. kazi ni moja tu kesho kupiga kura hakikisha waliokuzunguka hawachezee hii nafasi.
Pokea LIKE Mkuu.
 
hapa kazi tuu na siyo dhambi
pili kzi ya trafic siyo kuangalia bendera
 
Mwanza lile gari la maji washa nina uhakika hizi siku tatu litafanya kazi. mambo kama haya chadema hawawezi kuvumilia watu wataamua liwalo na liwe. vijana washasema mnawamwagia maji wanakuja na sabuni ya kuoga

Na mafuta ya kujipaka.
Tanganyika hawajawahi kuoga maji hayo, tuulizeni wazanzibar , jipake mafuta ya kula mengi mwilini kabla ya kutoka nje kesho hayo maji hayatawapa mazara yoyote, na chukueni magunia na maji kama mutarushiwa mabomu ya machozi, yafunikeni mabomu yao, hio ndio silaha yetu wazanzibar
 
Ushaur waacheni!
Wametumwa kupampu hasira za watu ili vijana waingie kwenye vurugu wawekwe ndani wasipige kura!
WAACHENI MSIWAGUSE PLEASE!

KESHO IMEFIKA NA WANANCHI TUMESHAMWELEWA LOWASSA NA TUMESHAAMUA! WAACHWE

Leo jioni bendera zote zinatakiwa zishushwe ili kesho game ipigwe, wametusaidia kazi.
 
Bendera Zilitundikwa Jana za Chadema Jiji La Mwanza Leo ASUBUHI Vijana Wa CCM wamezichomoa Zote Huku Askari Wa Usalama Barabarani Akiwepo Wanaangalia..

Fujo wakifanya CCM Ni Sawa Ila Zikifanywa Na CHADEMA NA UKAWA Zile Gari za Washa Washa Zinaletwa

Picha hizi HAPA..

Wacha wang'oe sisi tumeshaamua lowasa ndie rais.
 
Waache waziondoe kwani UKAWA wangetakiwa kuziondoa leo saa 12, Ukishindana na chizi nawe utakuwa chizi. Kama mmeshagundua njama za fujo kaa kimya waangalieni kwani wanaweza tumika kuwapandisha hasira mkajibu wakapata njia ya kupitisha yao. kazi ni moja tu kesho kupiga kura hakikisha waliokuzunguka hawachezee hii nafasi.

Wanatafuta sababu. Tukilipizia watuweke ndani ili kupunguza kura za UKAWA.
Hawatupati ng'oo???
 

Attachments

  • attachment-5.jpeg
    attachment-5.jpeg
    12 KB · Views: 241
Ndugu zangu watanzania, hii ndio fursa pekee! Weka NDULI CCM pembeni, huu ndio adui yetu pekee tusidanganyike.

Chagua KATIBA YA WANANCHI, CHAGUA LOWASSA!
 
Risasi huwa ni nzuri sana kuitumia maana haichagui, na haingalii mwenye nguvu za mwili bali ni yule jasiri tu. Ndio anaweza kuitumia na kushinda vita. Bora vita tupigane ili historia iandikwe kuliko kuvumilia ujinga.
 
Labda zimewekwa kwenye eneo lisiloruhusiwa. Hata hivyo CDM chali jijini Mwanza. Suma Lee alikuwa anabwabwaja tu leo.
 
Back
Top Bottom