Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

Mwanza: Soko la Mlango mmoja lateketea kwa moto

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,276
Moto mkubwa umezuka kwenye soko la Mitumba la Mlango Mmoja Kata ya Mbugani Wilayani Nyamagana jijini Mwanza leo asubuhi Septemba 28, 2018 na kuteketea vibanda vya biashara pamoja na maduka hivyo kusababisha hasara ambayo thamani yake bado hakijafahamika.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella, amethibitisha kutokea kwa moto huo huku akisema bado chanzo cha moto hakijafahamika lakini hapo baadaye atatolea maelezo.

DoJ-UvIXkAA5ySc.jpg large.jpg
IMG_20180928_074805.jpg

Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom