Mwanza, Shinyanga na Musoma: CCM ikishinda uchaguzi ujao naahidi kujiondoa JF

Ipe NCCR au TLP
 
bila KATIBA MPYA na TUME HURU YA UCHAGUZI, CCM itaendelea KUTUSUA tu.
 
Je unauwezo wa kuzuia wanao beba mabegi yaliyo jaa kwenye vituo vya kupigia kura?
 
Nani alikudanganya ccm huwa inashinda uchaguzi?,wizi wao ndy unawafanya watangwe washindi na tume ya ccm
Ussiwe umabisha tu tunajadili nimi kifanyike! Sawa Lisu kwa akili yako alimshinda Maguguli huko kanda ya ziwa hata kama kulikuwa na wizi wa kura! Tuwe wakweli itatusaidia kuliko kubaki ki wabwajatu hapa! Kanda ya ziwa Magufuli ndo ilikuwa ina mbeba na Lowasa na Lisu kule walishindwa kihalali ubishi mbaya!
 
Polisi watakuwa wame kufa?? Maana wao ndio wezi wa kura za upinzani
 
Mleta uzi unasahau kuwa CCM ndio inaandaa uchaguzi,inasimamia na kumtangaza matokeo. Hivyo kuishinda CCM mpaka kufumua mfumo mzima mana iko wazi siku zote chaguzi zote hawajawahi kushinda Ila wanatangazwa kwa hila. Tume hii ya Kaijage tusubiri sana. Ni ukweli mchungu lakini ndo hivyo tunaishi nao. Matumaini yapo kwa Mungu kama aliangusha jiwe hata hayo mengine yana siku zake.
 
Tena wakiweka Mzanzibari kugombea Urais wa Jamhuri ya Tanganyika, wamekwisha...!!
 
Kwani yule dikiteta alikuwa anashinda? We vepe?

Ni bora hata Samia anaeleweka. Yule dikiteta ilikuwa vituko na aibu tu!
 
Kwa nguvu majimbo yote ni CCM. No way
 
Mapema mno kubashiri
Siasa ni mchezo wa kisayansi ungesubiri 2024 ukaleta hii mada
 
Shida Chadema imewekeza mno kaskazini na kwa hivi karibuni walizodoa mno kanda ya ziwa kisa Magufuli hapo ndipo walipochemsha hawajui kucheza na sayansi ys siasa
 
Shida Chadema imewekeza mno kaskazini na kwa hivi karibuni walizodoa mno kanda ya ziwa kisa Magufuli hapo ndipo walipochemsha hawajui kucheza na sayansi ys siasa
Nakwambia hawa Chadema wakiona wana watu huko kaskazini na mbeya wanajua washachukua nchi! Wanaonesha dharau kwa watu wa kanda ya ziwa hususani wasukuma kwa sababu ya chuki zao kwa Maguful! Acheni huo ujinga! Kanda ya ziwa ndo kubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…