Mwanza, Shinyanga na Musoma: CCM ikishinda uchaguzi ujao naahidi kujiondoa JF

Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!

Kama ni kwa njia ya kura ni kupoteza muda maana CCM huwa wanatangazwa washindi bila kushinda. Cha kufanya anzeni sasa kuwazomea viongozi wa ccm, na kuwasusia kwenye mikutano na vikao vyao mbalimbali. Hiyo 2025 susieni uchaguzi na kuwaambia kabisa jambo tayari kuongozwa na wao bila ridhaa yenu. Kiongozi wa ccm akiwa na shughuli ya kijamii kama sherehe, msiba nk msihudhurie. Mkifanya hivyo akili zitawarudia.
 
Nje ya ccm hakuna chama ni heri hao hao ccm kuliko Wahuni

Haya ndio matamanio yako yanayoenda tofauti na ukweli. Inaumiza kukutana na ukweli huu, lakini iko wazi CCM sio chama tena cha kizazi hiki, na kupora uchaguzi sio jambo wanalolipenda, lakini inabidi wapore tu maana wanaona aibu kushindwa, na wana hofu wakitoka madarakani wataishia jela kwa wizi walioufanya.
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Anachukiwa Samia au CCM?
Na kama anachukiwa Smia unajua kama atarudishwa kugombea?
Na unajua CDM watamteua nani kugombea?
Ajabu CDM watamrudisha Tundu!!
 
Hapo ndipo hoja yako ilipofeli.
Hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ya kuishinda ccm kanda ya ziwa. Chadema iliyokuwa na uwezo huo ni ile ya enzi za dr slaa, hii ya sasa hivi enzi za mr #dishlimetilt hakuna chochote. Matusi na uropokaji haviwezi kuwapa ushindi.
Itategemea mia SSH ataihandle vipi kanda ya ziwa, na wanassiasa wa huko kuanzia sasa mpaka 2025. Ccm itashinda siyo kwa sababu ya umaarufu wa SSH, bali kwa sababu ya umaarufu wa wanasiasa wake watokao kanda hiyo.
Matusi?Walikutukana weye?Orodhesha hayo matusi tukupe pole.
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hao wanafiki sana, walijidai sana kipindi cha mwendazake. Wanachukia nn sasa
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Hata Iringa. Mpaka DC inatoka oveseas. Hahaaaaaaaa
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
Utakuwa mgeni na tume ya uchaguzi.
Kwani huwa wanatangaza mshindi wa kweli?!!!
 
Kwa upepo unavyovuma kanda ya ziwa itakuwa ni vigumu mno kwa CCM kushinda Majimbo ya uchaguzi ya Ubunge na hata kura kwa Rais zitapungua mno 2025!

Nawashauri wana Chadema na hata vyama vingine vya upinzani wekezi nguvu zenu Kanda ya ziwa hakika hamtojuta 2025.

Ukweli ni kwamba Samia anachukiwa mno ktk Ukanda ule!
ASSUMPTION: In-case there's going to be a FREE & FAIR election.
 
Tume hii ya kada wa ccm Mahera halafu ashinde mpinzani hahaaa ndoto za mchna hizi, kwanza hangaya na jiwe wote lao moja hawezi akakuteua na utangaze mpinzani
 
Hapo ndipo hoja yako ilipofeli.
Hakuna chama cha upinzani chenye nguvu ya kuishinda ccm kanda ya ziwa. Chadema iliyokuwa na uwezo huo ni ile ya enzi za dr slaa, hii ya sasa hivi enzi za mr #dishlimetilt hakuna chochote. Matusi na uropokaji haviwezi kuwapa ushindi.
Itategemea mia SSH ataihandle vipi kanda ya ziwa, na wanassiasa wa huko kuanzia sasa mpaka 2025. Ccm itashinda siyo kwa sababu ya umaarufu wa SSH, bali kwa sababu ya umaarufu wa wanasiasa wake watokao kanda hiyo.
CCM wanajiaminia Diallo na Gachuma,Ila Samia kanda ya Ziwa hakubaliki kabisa
 
Back
Top Bottom