Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,576
- 46,151
Ipe NCCR au TLP
Shida inaanzia hapa, Ndio CCM iko taabani je tuchague chama gani sasa kilichojipanga kushika dola? kushika dola sio bahati mbaya bali ni mipango na maadalizi yaliyokomaa..
yaani unataka uwape nchi hawa wazee wa matukio? chama kisicho na mipango ya kesho, chama kisicho na uongozi madhubuti kutoka juu mpaka chini huko...hapo ndipo wengi tunakosa option na kuamua kutopiga kura..