Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Oct 9, 2012 Thread starter #41 Judgement said: Kwanza Bishanga mwenyewe nimepata tetesi kafikia Igombe nje ya mji , kule guest room buku 3! Sina hakika kama ntakutana nae, kwa kua si rahisi mi kufika kule, barabara mbovu na mie gari yangu iko chini sana, sijaiwekea specer za kuinyanyua. Click to expand... Acha hizo bana,mimi nilikuwa ryan hotel,lunch tilapia dinner malaika,chezeiya bilionea wewe?
Judgement said: Kwanza Bishanga mwenyewe nimepata tetesi kafikia Igombe nje ya mji , kule guest room buku 3! Sina hakika kama ntakutana nae, kwa kua si rahisi mi kufika kule, barabara mbovu na mie gari yangu iko chini sana, sijaiwekea specer za kuinyanyua. Click to expand... Acha hizo bana,mimi nilikuwa ryan hotel,lunch tilapia dinner malaika,chezeiya bilionea wewe?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Oct 9, 2012 Thread starter #42 charminglady said: we bepari la kihaya, vp mbona umetokomea? ama ndo umefichwa na wadada wa makoroboi??? chezeiya mwanza weye!!!!!![/QUOTE. Ulijuaje,leo ndo nimeibukia eapoti napanda ndege kurudi dar,nilibanwa nikabanika,ukinipima oil litatoka povu tu. Click to expand...
charminglady said: we bepari la kihaya, vp mbona umetokomea? ama ndo umefichwa na wadada wa makoroboi??? chezeiya mwanza weye!!!!!![/QUOTE. Ulijuaje,leo ndo nimeibukia eapoti napanda ndege kurudi dar,nilibanwa nikabanika,ukinipima oil litatoka povu tu. Click to expand...
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,343 Reaction score 111,597 Oct 9, 2012 #43 CUTE said: itakua ni zaidi ya tanga Click to expand... mmh! mwaja leo mwaondoka leo...
Arushaone Platinum Member Joined Mar 31, 2012 Posts 15,237 Reaction score 13,567 Oct 9, 2012 #44 Bishanga kuna club inaitwa The Kiss ukiwa unaingia lazima upigwe kiss na mwanamke mmoja kajazia mfupi yuko mlangoni anakaribisha wageni. Ulipita pale? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Bishanga kuna club inaitwa The Kiss ukiwa unaingia lazima upigwe kiss na mwanamke mmoja kajazia mfupi yuko mlangoni anakaribisha wageni. Ulipita pale?