Mwanza: Mangula azomewa kwa aibu

Mwanza: Mangula azomewa kwa aibu

MWAKYEMBE JEMBE!...lakini amelala,amesusiwa kazi......


Anahangaika mwenyewe , siyo wa aina yake na aache kujipendekeza. Mwakyembe tulia ofisini na fanya kazi yako ,kuzunguka kwenye siasa za ccm ni kujipaka maji machafu maana unatetea maiti
 
Chanzo ni gazeti gani?? uhuru toilet paper au habari uongo newspaper?
 
Huyu m.p.u.u.z.i Matata ni nani amempa umeya?hana akili hata kidogo,ndio maana c.c.m wanatandikwa na vyupa!waende na Mbeya sasa!
 
Ccm wana roho ngumu kama ya paka aisee,hawakati tamaa japo mwanza wamekataliwa kabisa
 
Ina maana maenedeleo ni Magorofa? Na hayo Magorofa yamejengwa na Serikali? Vilaza wa CCM ni wengi sana, sehemu kuna weza kukawa na Nyumba zilizo ezekwa kwa majani lakini kukwa na maendeleo,

Magorofa ya mafisadi akina ngeleja na wenzake!!!!!!! Ati anaita maendeleo!!!!!
 
Mwakyembe we turia ofcn fuatia wizara yako kwenye mikutano ya chama cio sehemu ya kutolea rpot ya kaz yako,huyo nape atakuchongansha na wananch
 
Huuu ni mwanzo wa ibada, jiulize ikifika mda mchungaji/padre/kasisi/kuhani/au yeyote mwendesha ibada kutoa baraka za mwisho itakuaje?na uzuri mungu sehemu nying rasilimali mawe,miti,miamba ambayo ktk vitabu vya mungu haijaktazwa kutumia kuwaponda wanyang`anyi na walanguzi pia wezi na mafisadi..the end is near.
 
Kweli viongozi wa CCM wamechoka kufikiri. Hivi kweli haya ndio majibu ya kutolewa na makamu wa mwenyekiti? Mabugando mengi yanawasaidiaje wananchi wa kawaida katika maisha yao ya kila siku? Au yamesaidia vipi kupunguza ugumu wa maisha? Na ni ya nani hayo? Lakini nikitafakari zaidi si shangai kwasababu hata Mwenyekiti aliwahi kusema tatizo la foreni za magari Dar ndio maisha bora! Hawa viongozi wa CCM mbona hawamlizi vituko? Mwingine utasikia anamkanda unaoonesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauji, mwingine utamsikia anasema CHADEMA wamekodisha makomandoo, mwingine atasema CHADEMA wanapokea pesa toka nje nk. Yaani kila kauli wanayotoa ni kituko! Nafikiri warudi ndani watafakari na kujipanga upya kabla hawajatoka kwa wananchi kwani wajue wanaongea na kizazi cha digitali sio analojia. Ukiwachambua hawa utakuta wote ni ANALOGY ndio maana wana kauli tata!
 
Kwa sasa wanahangaika kuwarubuni wamama wakongwe wakidhani watautumia uelewa wao mdogo kupenya! Chadema kaza kamba, huyu simba ni wa mabox.
 
Na hawatajifunza kamwe kutokana na ombwe la kushika utamu. Wakakamate mafisadi na majangili waliopo kwenye chama na serikali, pia warejeshe pesa zetu zilizofichwa nje na kutaifisha Mali za mafisadi hapo tutawaunga mkono 100%.

Hawawezi. Ndio maana wanakuwa wakali na kuleta propaganda za kidini na kikabila. Wanasingizia vyama vingine udini na ukabila bila kujali wanapandikiza udini na ukabila na kuharibu nchi na vizazi vijavyo.
 
vilaza kweli ni wengi.ndo wakome.namshauri mwakyembe ajiunge cdm asiongozane na slow learners atapotea.
 
Nimemfahamu Mangula tangia alipokuwa kwetu Kwimba..Baadaye alikuja kuwa Katibu wa ccm mkoa wa mwanza na mkuu wa mkoa. Naibu katibu mkku alikuwa marehemu Kikungwe kijana na TISS. Mangula aliondoka mwanza baada ya kofia mbili kutenganishwa na kupewa ukuu wa Mkoa wa Kagera...Baadaye katibu mkuu wa magamba eti za brother Ben. Sasa kaupata umakamu wa mweneyekiti kafikiri watu ni wale wale wa miaka ya 80 na 90!!!! Ghorofa la kwanza mwanza halikujengwa na ccm bali na Victoria Nyanza Farmers Federation " aka Federation". Baada ya Nyerere kuwaogopa viongozi wa vyama vya wakulima kama wakina Sir George Kahama na George Bomani, aliamua kuwachukuwa hawa na vyama vyao kuwa tawi la TANU and then CCM. Na ukawa mwisho na mwanzo wa mafanikio kwa vyama vya wakulima. Baada ya Miaka 33 ya ccm na 50 ya uhuru leo nyanza ina miliki ghorofa hilo na Ginneries 2 tu kutoka Ginneries 30

Sasa Mangula mabugando haytusaidii bali yakusaidia wewe mnafiki. Ulipokuwa nje ya ulaji ulisema ccm imejaa wala na watoa rushwa leo mafisadi wamekurudish kwenye ulaji unaanza kutunanga

Nenda kaendeleze kilimo Iringa...ccm ilisha binafsishwa
 
hivi ndugu yangu, wewe ujuavyo maendeleo ni nini? Hebu tupe muongozo wa maana ya maendeleo maana inaonekana unafahamu vizuri juu ya hili!


KUTOKA GOOGLE UTAPATA MAJIBU NA NINAAMINI UNAYO PIA, ENDELEA

Introduction: What Is Development?
children.jpg

According to the World Bank, almost one-half of the world's 6.5 billion inhabitants live on the equivalent of less than two dollars a day, and about one-fourth of the world live on the equivalent of less than $1.25 a day (Chen and Ravallion, 2008).Meanwhile, people in the 20-richest countries on average earn 39 times more than people in the poorest 20 (Milanovi, 2007).
At the same time, the extent of poverty has declined significantly. For example, the World Bank estimates that from 1981-2005 the percentage of people living on less than $1 per day was halved. The amount decreased from 52 percent to 26 percent in this period (Chen & Ravallion, 2008).
These contrasts highlight both the problem and the progress of what is known in the international community as "development." Large numbers of the world's inhabitants are mired in poverty, especially in Africa, while inhabitants of the world's richest countries live in both relative and absolute luxury. But people in poor countries are getting wealthier over time-a process linked to globalization because poorer countries can raise their standards of living by integrating with rich countries.
The term "development" in international parlance therefore encompasses the need and the means by which to provide better lives for people in poor countries. It includes not only economic growth, although that is crucial, but also human development-providing for health, nutrition, education, and a clean environment.
 
Senior MemberArray


Join Date : 3rd July 2012
Posts : 219
Rep Power : 372
Likes Received24
Likes Given22


[h=2]
icon1.png
Npe aanza kufunga virago[/h]
nape nauye rudi ccj mapema maana unaona kasi ya mheshimiwa mtarajiwa edward lowassa anavyong'ara.wahenga walisema usitukane wakunga na uzazi ungalipo,ulimkashifu sana lowasa ukamuuta fisadi,ukamuta gamba ndani ya chama ukampa siku 90. Sasa nape kikwete anaondoka 2015 na lowasa anongoza ngome ya ccm kwa ukweli weka hii taarifa vizuri utasahaulika ndani ya ccm na utajutia domo kaya lako,if u don't believe call me na nikupe data zako zote.pole sana maana chadema hawatakuchukua maana wewe na nchemba ni member wa masalia labda cuf tu.lowasa ni kiongozi jasiri aakayeweza kufukuza wapuuzi wote ndani ya ccm viva lowasa. ccm mnajua bila ya lowassa na kundi lake hamna pesa za kuendesha chama.[COLOR=#49535A !important] +447534130796


[/COLOR]
 
Back
Top Bottom