maguzu masese
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 283
- 139
Maandamano ya M4C jijini Mwanza jana jioni yalisimamisha shughuli za waendesha magari kwa muda wa nusu saa baada ya mkutano wa ukweli uliofanyika viwanja vya Capri Point. Wafuasi wa CHADEMA walimzuia kamanda Mawazo kupanda gari kuamua kumsindikiza kwa maandamano mpaka hoteli alofikia maeneoa ya Uhuru.
Bara bara za station tokea Capri, barabara ya Nyerere na barabara ya Uhuru zilijaa watu wengi wakipiga kelele kumsindikiza kamanda Mawazo.
Kamanda Mawazo leo anawasha moto wa mabadiliko Bukoba. Mwendo mdundo, hatulali mpaka kieleweke
Maguzu