Wewe kaa hukohuko kwanza unavurugu hatukutaki..😎Mwanza mwanza,,, nimepamiss kinoma
Wa Arusha niko hapa…Wanakuja watu wa Arusha na mbeya kubisha
Sasa wewe unaongelea raha za dar utaje huko uswazi.Kweli si kila ukipendacho duniani waweza kukipata...
Next time ukirudi unitafute nikudunde..😂Rock city mall
Malaika resort
Tilapia hotel
Antilope hotel
Saa 8 island
Kamanga ferry.. uniqueness of Mwanza iliko 🥰
Nitarudi tena 🔥
MmmmmmmhWa Arusha niko hapa…
Nilikuwepo Mwanza zaidi ya 1 week!
Aisee ni patamu [emoji39][emoji39]
Nikiokota hela nitarudi tena.
Hata wafanya biashara wao wana ukarimu kwa mteja. Hiki kitu Chuga sio sana, labda wapaka rangi wa Chuga ndio at least wako wakarimu kwa mteja.
Sema gharama zake asee si kitotoWa Arusha niko hapa…
Nilikuwepo Mwanza zaidi ya 1 week!
Aisee ni patamu 😋😋
Nikiokota hela nitarudi tena.
Hata wafanya biashara wao wana ukarimu kwa mteja. Hiki kitu Chuga sio sana, labda wapaka rangi wa Chuga ndio at least wako wakarimu kwa mteja.