Mwanza jijini vurugu tena sasa hivi .....

Poleni sana wanamwanza na misukosuko ya kila siku. Hawa polisi siku zao zinahesabika.
 
Majimbo yanayoongozwa na CDM utayajua tu! Hawa watu hawatufai kabisa!!
.Eeh, hata kule tarime polisi walikoua raia mbunge wa jimbo ni wa chadema. No research no right to talk!.
 
  • Thanks
Reactions: Aza
mkuu,unashauri ihamishiwe kwenye kusaka wachumba?
hahahahaaa yani u made my night king'asti
chezea kanda ya ziwa kule watu hawataki masihala ya kijinga yani wanapigana na polisi/wajeshi adi wenyewe inabidi waongee nao kiakili laa sivo hawatoki hapo adi kieleweke.aluuuuuta Siro kazi anayo ila anajua kuwatuliza raia uyu baba si haba

how i love them!!!
 
Majimbo yanayoongozwa na CDM utayajua tu! Hawa watu hawatufai kabisa!!
kama hawawafai hameni, ondoeni akili ya wizi wizi wizi, mkishtukiwa inakua tabu kwendeni zenu kule!!! ndo mwisho wenu ushafika.
 
Habari ni kwamba kuna kijana mmoja wa jeshi fulani amempiga mwendesha pikipiki pasipo kujua kuwa naye ni mtumishi wa he jeshi jingine. Hapa ninapoongea, gari la mkuu wa kituo limeishachomolewa vioo. Hakuna gari linalovuka eneo la tukio. Kama kuna waandihi wa habari mlioko Mwanza jijini tembelea kwenye tukio muweze kupata ukweli wa mambo.
This has nothing to do with SIASA jaman,
Moods hamisheni hii Thread to an appropriate Jukwaa
 
Habari ni kwamba kuna kijana mmoja wa jeshi fulani amempiga mwendesha pikipiki pasipo kujua kuwa naye ni mtumishi wa he jeshi jingine. Hapa ninapoongea, gari la mkuu wa kituo limeishachomolewa vioo. Hakuna gari linalovuka eneo la tukio. Kama kuna waandihi wa habari mlioko Mwanza jijini tembelea kwenye tukio muweze kupata ukweli wa mambo.
Polis v wanannchi hapatoshi jee? huyo mjeshi bodo wenzake hawajatinga kwenyetukio? ilitakiwa washikiswe adabu wawo siku zote wanajiona wapo juu ya shelia
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Hapa si kesi ya CDM ni mfumo wa uongozi katika majimbo hayo. Vurugu zilizopita alisababisha mtu ambaye ni kada na kiongozi wa sisiemu ambaye amewekwa kwa maslahi ya rais. Kwa namna moja au nyingine hapikiki chungu kimoja na madiwani matokeo yake anafanya maamuzi pasipo kuwashirikisha wenzake. CDM imetoka wapi hapo.

kweli kabisa ni kuionea CDM,watawala wanazipiga wenyewe police vs jwtz alafu unasema cdm.inashangaza sana.
 
Karibia utakufa kwa ujinga nenda hospitali iliyo karibu mapema wanaweza kusaidia kitu!
Angalia majimbo ya vyama vingine, hali shwariii... Hayo yenu tu ndio balaa!Kufa sifu na chamoto mtakiona
 
Angalia majimbo ya vyama vingine, hali shwariii... Hayo yenu tu ndio balaa!Kufa sifu na chamoto mtakiona
Kufa sifu manaake nini?Mwanaume wa kweli hapelekeshwi kama kishada,ukileta ushoga unapewa za uso tu kwani nini.
 
Angalia majimbo ya vyama vingine, hali shwariii... Hayo yenu tu ndio balaa!Kufa sifu na chamoto mtakiona

ushwari ndo unatukosesha umeme, unafanya wake na dada zetu waja wazito wanunuliwe bajaji badala ya magari ya wagonjwa, mwisho wa yote umekaribia. unyonge wetu ndo ulifanya tudhulumiwe, tuonewe na kunyanyaswa
 
Hii vurugu inaendelea maeneo ya Nyakato National karibu na kituo cha polisi cha Mwatex, magari yamezuiliwa. Tutaendelea kuwajulisha nini chanzo cha vurugu, ila habari nyepesi ni kwamba kuna kundi fulani lililo rasmi linapigana na kundi jingine lililo rasmi. Nitawajulisheni baada ya kupata habari kamili vijana wangu ndo wameenda kwenye tukio.
Ishu naona ishapoa nimepita pande hizo polish vs raia na jwtz,karibuni mwanza ila umeme anasa siku hizi
 
Angalia majimbo ya vyama vingine, hali shwariii... Hayo yenu tu ndio balaa!Kufa sifu na chamoto mtakiona
Hujuwi ukitendacho majimbo ya nayo ongozwa na cdm yanawatu waelewa wanao juwa haki zao hayo mnayo yashikilia bado hawajanawa uso wakinawa hamtawashika tena usijivunie upofu wa wanannchi ulio faywa na ccm wanao kura minofu wanawarushia mifupa. watu wakikataa kura mifupa mnasema wanafujo ccm imefanikicha muda wa miaka 50 kuwazoofisha watu kuamini kwamba anayesema ukweli au kudai haki zake au zawenzake wasio juwa hakizao anapachikwa jina mvuruga amani mudini mkabira mkanda na wale ambao kwamakusudi au kwa bahati mbaya husapoti na kuwachukia wapigania uhuru wa wanyonge wengine wana masirai na huo mfumo wengine ni mkumbo wa athilika bira kujijuwa tusiwachukie wanahitaji msada kamahuyu ndugu yetu jf tuwasaidie
 
Majimbo yanayoongozwa na CDM utayajua tu! Hawa watu hawatufai kabisa!!

Jeshi letu la polisi lina mapungufu ya namna fulani, Ninaimani baadhi ya vurugu zinasababishwa na jeshi hilo. Aidha kwa umakusudi au kwa kutumwa.
Kwani ninaimani matatizo mengine kama polisi wetu wangetumia busara katika kuyatatua hakungekuwepo na vurugu zisizo na msingi. Tusi laumu vyama vya siasa siyo vyombo vya dola.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom