Mwanza jiji zima hakuna Brown Bread?

Tulihobhaba mwamiii.naleja mwa sengi wane.tulage mamikate hayana hata sukali
 
Ulienda Pizzeria ukakosa brown bread?
 
Na wakati brown bread wanaonunua wengi wagonjwa wa sukari
 
Kuna wakati nikiwa mwanza nakumbuka kipindi makoroboi ikiwa hai nilizunguka jiji zima kutafuta kandamnili(ndala) huwezi amini nilikosa.

Tokea that day jiji la Mwanza nilidharau.
Ama kweli maneno husadifu wajihi,nimecheka Sana nilipolinganisha avatar yako na maneno yako,ulikuwa unazitafutia wapi hizo ndala? Unvenunua kata mbuga tu zimejaa hapo makoroboi na ndio utamaduni wetu.
 
mabumunda au??
 
mbona mwanza mikate hiyo imejaa mimi nakula kila siku brown bread inapatikana mtaa wa uhuru na pia mtaa wa rufiji na nkurumah mbona ni nyingi tu weww ndio mshamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…