Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,576
- 12,374
Na yale mawe lazima yadondokeHuku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
hawa jamaa kweli vinyago mpapure habari zao zipo kwenye mitandao tuHuku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Ashachukua siku nyungi, my TRUE PRESIDENT...Hivi zile tuzo vipi??
Hv kwa akili zako za kujipendekeza unazani bila kuiba na kutumia dola na majeshi mngeshinda,.!!Kwa ushahidi upi? Na huyo mtoto mdogo yupi? Kichwa kina kazi zaidi ya kufugia nywele mkuu.
mtu kupendwa hakuangalii cheo hayo ni mambo ya ccmNaomba kuuliza, Lowassa ana cheo gani cha uongozi ndani ya Chadema?
Mie nilidhani mtu anahudhuria vikao kwa sababu ni kiongozi stahili au mjumbe aliyeainishwa kwenye katiba.mtu kupendwa hakuangalii cheo hayo ni mambo ya ccm
Mtoa mada kakosea kuandika kichwa cha uzi labda ana maana barabara za Mwanza zitasafisha na kudekiwa kwa mara nyingineMzee Mwanakijiji said:Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
Kumbe baada ya Nyerere Ni laigwananiHuku viongozi waandamizi wakianza kuwasili hapa Mwanza wakiongozwa na Kamanda wa anga Freeman Mbowe, jiji hilo linatarajiwa kutikisika kesho pale atakapowasili mwanasiasa mashuhuri baada ya Mwl Nyerere, Edward Ngoyai Lowassa kuhudhuria vikao vikuu vya chama.
Taarifa za ndani zinasema nguri huyo wa siasa za nchi hii atawasili Ijumaa mchana au Jumamosi asubuhi. Baada ya hapo Jumapili jioni atauhutubia viwanja vya furahisha kushukuru wananchi wa Mwanza kwa kumpa kura nyingi na kutambulishwa kwa katibu mkuu mpya. Tv nyingi za nchi hii zitakuwa live siku hiyo.
Bado ninaiwaza hii kauliLowassa is the, best