MUSSA ALLAN
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 18,925
- 13,280
Inaonekana unapenda sana kukunjwa viuno, Kwanini unachezea kipaji chako? Si uende Mombasa ukajiajiri?MJIANDAE KUKUNJA VIUNO VYENU NA MAKALIO YAKIWA JUU, KUPIGA DEKI BARABARA, SAWA, SAWAAA!, SAWA, SAWAAA!
AAH AAH MUSSA ALLAN, MARA HII MMESAHAU FANI YENU YA UPIGAJI DEKI, KILA LOWASA AKITOKEA, AU MNA FANI MPYA MTAZINDUA HAPO JIJI LA MAWE? MTUPIGIE PICHA BASI NA KUTUTAARIFU FANI MPYAA!Inaonekana unapenda sana kukunjwa viuno, Kwanini unachezea kipaji chako? Si uende Mombasa ukajiajiri?
Nendeni mkazungushe viuno makalio na mikono kwa tapeli wenuIngekuwa hivyo wewe ungeshaolewa kitambo sana! Maana huna breki wewe, wala hukujaaliwa kukataa jambo!
We ni mtu mjinga!Nendeni mkazungushe viuno makalio na mikono kwa tapeli wenu
Bora mi mjinga,nilipitiwa upepo wakati ule nikaiamini CHADEMA ila saivi nishaelimika na kugundua CHADEMA ni matapeli...Ila wewe ni mpu.mbavu..hujui chochote unazungusha kiuno tuWe ni mtu mjinga!
Lini uliwahi kuwa CHADEMA wewe kiroboto? Hebu weka kumbukumbu ?Bora mi mjinga,nilipitiwa upepo wakati ule nikaiamini CHADEMA ila saivi nishaelimika na kugundua CHADEMA ni matapeli...Ila wewe ni mpu.mbavu..hujui chochote unazungusha kiuno tu
Naskia anakuja kuintroduce viroba vya ukawa mwanza baada ya kufakamiwa sana moshi, hela yake inarudi taratiiiiibuWe hauko Mwz bali Lumumba unakumbuka maroli yenu mnayosombea wale wazee ambao hawana hata jino moja
Nilitoka rasm December 2013 mbu.ni wewe kwenye sakata la ZittoLini uliwahi kuwa CHADEMA wewe kiroboto? Hebu weka kumbukumbu ?
hapo ndo mnapokosea ndugu zetu nyie mnakaa mkidhani vitu vinaapply kwenu tu kwa wengine haviwezekani.....nyie mnahisi ni ccm tu wanaoweza kuhamia chadema lakini wachadema hawawezi kuhamia ccm.....Lini uliwahi kuwa CHADEMA wewe kiroboto? Hebu weka kumbukumbu ?
Kume ulikuwa mfuasi wa Zitto, Zitto alijiondoa CHADEMA kihalali kabisa. Wala hakuna kanuni ya chama iliyokiukwa! Kwahiyo wewe na huyo mwenzako ni vigeugeu tu!Nilitoka rasm December 2013 mbu.ni wewe kwenye sakata la Zitto
Napata shida sana kujua kama na wewe umereturd mkuuBado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?