MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,055
Wewe ushatingishwa mpaka ukakinaisha?Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
Mwizi anayeishi Ikulu anayeiba kwa kutumia wazungu wa kiitaliano atatikisa wapi?Sisi Lowasa anatuhusu nini Mwizi na fisadi
bado mkuu,au ulifikiri zile series za youtube zitammaliza...?Bado watu hawajachoka kutingishwa na Lowassa?
mufilisi na waliokosa mwelekeo wako lumumba ambao awali wala awalali bila kumzungmzia lowassaWatu wengine kwa kupenda kuandika upuuzi,unawezaje kudai eti mwanza itatingishika kwa ujio wa mwanasiasa mufilisi na aliyekosa muelekeo!!
Wenzenu wanatimuana sababu yake, Lumumba hakukalikiSisi Lowasa anatuhusu nini Mwizi na fisadi
Mwaka huu mtakufuru sana tu.Umenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania
raisi wa majipuUmenena vema Mkuu!! Baada ya Nyerere ni Lowasa pia hakuna Kiongoz mwenye Heshima kubwa kwa Afrika Mashariki kumzid Ngoyai Edward Lowasa...Rais anaetambuliwa na Mungu kwa Tanzania