Mwanza imeharibika kwa ukahaba

Kiukweli kabisa hali ni mbaya sana. Mbaya mnoo. Mtu hata unaogopa kuolewa, unaogopa hata kuzaaa
Unakua innocent lakini kuna mshenzi mmona atakuja kukuumiza.
Watoto wa kiume ndo imekua hofu koo kwa sasa katika jamii. Inaogopesha mno mno mno. Dah. Lile chimbo la lambo limepooza siku hizi. Yaan wamehamia kidimbwi huko.

Kuna dada ameanza jiuza akiwa na 13 years
sasa ana 34yrs. Sijui kama atakua salama. Na anataka olewa sasa hv. Na bado anaendelea na kazi yake. Dunia nimeiogopa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Telegram wapo kila mkoa na tena wanalodge Zao safi kabisa ni wewe tuu na pesa yako
 
@miss pablo mie nataka nijitulze kwako niache kufata hawa wauza mbususu.
 
Binafsi naunga mkono biashara hii maana wanajali afya kuliko hawa wa mtaani,wanaojiuza huwezi kwenda pekupeku,ila hawa wa huku mtaani atakuaminisha uko peke yako kumbe mko saba na vizinga kibao
Kama wanajiuza wanajali afya zaidi au pesa zaidi?

Hakuna dau la peku peku na dau la mpira? Shtuka mkuu, wale wako kibiashara zaudi na inategemea yuko na uhitaji wa fedha kiasi gani wakati unamu approach.
 
Fedha inavyozidi kushika hatamu katika mahusiano ya kimapenzi; umefika Wakati litafutwe neno lenye staha, na lisilo la kuwadhalilisha hawa 'commercial sex-workers'. Ni vile tu wao wapo wazi zaidi, na Wana guts za ku exchange tendo directly kwa pesa. Ila ni wengi mno wanaofanya same business indirectly.
 
hahahaha pata Fanta hapo chap
 
Una ukiongezea kwamba wanasaidia sana wale jamaa zetu domo zege na pia kupunguza waleee wanaokawia bafuni na kipande cha sabuni.
 
Pale ni hatari na nusu halafu wale ukinnua mnasogea pembeni ya barabara kwenye majani tu hapo na watu wanaona yaani ukifika pale unaweza kuzimia watu wanakulana kweupeeee Hadi madingi wananunua
Ila wanajitaidi kuita wateja ukipita pale utasikia tu " samahan kaka njoo tuongee"
 
Hahahaaa we jamaa usiwe unapita mkuu utashawishika alafu siku izi wamepungua pungua " utasikia we mwanaume / we kaka
Mm hawawez maana kwanza mazingira ya pale yenyewe kwangu sio rafiki alaf mm napenda foreplay hao hawana wanataka chomeka mwaga ondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…