miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,414
- 10,970
Kiukweli kabisa hali ni mbaya sana. Mbaya mnoo. Mtu hata unaogopa kuolewa, unaogopa hata kuzaaa
Unakua innocent lakini kuna mshenzi mmona atakuja kukuumiza.
Watoto wa kiume ndo imekua hofu koo kwa sasa katika jamii. Inaogopesha mno mno mno. Dah. Lile chimbo la lambo limepooza siku hizi. Yaan wamehamia kidimbwi huko.
Kuna dada ameanza jiuza akiwa na 13 years sasa ana 34yrs. Sijui kama atakua salama. Na anataka olewa sasa hv. Na bado anaendelea na kazi yake. Dunia nimeiogopa
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app