Mwaka 2026 mwanzon mirad ifuatato itakuwa imeisha
1.meli ya mv mwanza
2.daraja la kigongo busisi
3.soko kuu la mjini Kati
4.soko kuu la samaki mswahili
5.soko kuu la kirumba
6.barabara ya Buhongwa Hadi igoma
7.barabara ya buswelu nyamhongolo
8.barabara ya mkuyuni mahina
9.reli ya kisasa mwanza isaka
10.machinga complex mchafukuoga
Miradi ambayo itakuwa kwenye utekelezaji
1.barabara ya njia nne mwanza mjini to mwanangwa
2.barabara ya airport to nyanguge
3.ujenzi wa dry port pale fela
4.ujenzi wa barabara njia nne mwanza mjini Hadi nyanguge
5.extension ya mradi wa maji butimba phase 2
6.baadhi ya ujenzi wa magorofa ya nhc pamoja na mashirika mengine ya umma kama NSSF
7.jengo kubwa la kitega uchumi buzuruga
8.kuundwa kwa manispaa ya kisesa na ujenzi wa ofisi za umma kwenye manispaa hiyo