Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Je ni maeneo mawili tofauti?
Kata ni ya Kirumba, ila mtaa ni Ibanda, ukitoka Kabuhoro, Unakutana na Songambele, ndio Ibanda. Wengi tukiwa Mwanza mjini tunaiona Kirumba Mlimani, sasa upande wa pili wa mlima ndio Ibanda yenyewe inaangaliana na ziwa
 
_20221028_233058.JPG

Capripoint

_20221028_232420.JPG

Isamilo

_20221028_233509.JPG

Wag Hill
 
Kata ni ya Kirumba, ila mtaa ni Ibanda, ukitoka Kabuhoro, Unakutana na Songambele, ndio Ibanda. Wengi tukiwa Mwanza mjini tunaiona Kirumba Mlimani, sasa upande wa pili wa mlima ndio Ibanda yenyewe inaangaliana na ziwa
Ukiwa na pesa nyingi , Bwiru na kirumba ndo Mitaa ya kishua Sana , alaf upepo mwanana ... Hlo eneo Lina high class na middle class wengi Sana
 
Usikute hii sheli
picha ingekuwa ni ya mchana tungeweza kutambua leo itabidi nikachungulie na mimi kuosha macho.
pia pale kwenye mradi wa soko kuu la kirumba naona wameanza kuchimba machimo sijui ni ya nini wakati hawajaweka uzio kuzungushia eneo la mradi.
 
Back
Top Bottom