Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Ni zuri sana aisee hapohapo mchafukuoga kuna mchoro wake mzima soko litakavyokuwa baada ya kuisha ni tamu balaa
 
Capri point ndogo ile 😀 😀 😀 😀
Nyegezi majengo Huwa hampataji sana[emoji116][emoji116]
1663004290087.jpg
 
Nyegezi majengo Huwa hampataji sana[emoji116][emoji116]View attachment 2401438
Tatizo huko majengo ni sehemu ya watu wenye uwezo sana, nilienda kuulizia kiwanja vha 20*20 nikaambiwa 45milioni nikasema huku si size yangu lakini haya maeneo wamejenga sana na huku ndio anaishi mbunge wetu mh Stanslaus Mabula na mbunge wa Bunda
 
Back
Top Bottom