Kitombile
JF-Expert Member
- Mar 21, 2021
- 7,242
- 8,117
Hakuna mradi wowote na NHC Mwanza, na ukisikia wanaleta mradi utakuwa ni uchafu tu, wamejaza mabanda ya maduka hapo katikakti ya CBD, unazan wana maana hao.Kwani hivi sasa NHC wanamradi mpya hapo Mwanza...?