Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Soko la machinga mchafukuoga likiisha aisee litakuwa mkombozi kwq machinga jiji la mwanza pale kwny bango la mkandarasi kuna michoro nilitaka niipige picha sema yale maeneo Yana watu wengi sana walikuwa wananikodolea macho nimelipima urefu wake ni kama mita 185 na upana ni mita kama 140
 
Sema wamelijenga uswahilini sana ..igogo kule sio kabisa
 
Jifunze kutokuogopa wala kuona noma we kesho ukipata muda nenda utupie picha humu.
 
Sema wamelijenga uswahilini sana ..igogo kule sio kabisa
Mzee pale kuna dada mmoja anaduka nilikuwa nakunywa soda nikamchukua maelezo amesema wameambiwa wahame hapo wanataka kuvunja kujenga stand ya Hiace na soko likiisha coaster zote zitakuwa zinapitia ile barabara ya mchafukuoga
 
Soko la machinga mchafukuoga likiisha aisee litakuwa mkombozi kwq machinga jiji la mwanza pale kwny bango la mkandarasi kuna michoro nilitaka niipige picha sema yale maeneo Yana watu wengi sana walikuwa wananikodolea macho nimelipima urefu wake ni kama mita 185 na upana ni mita kama 140
Unawaambia umependa picha unaomba kupiga
 
Screenshot_20221027-195716~2.png

Capripoint
 
Wamelenga wateja na huko kuna watu wengi wa bugarika, igogo, mahina na wanafunzi wa chuo cha bugando pamoja na mkuyuni.
Wangejenga pale mkuyuni..pangekuwa patamu sana ... mkuyuni Kuna mzunguko wa watu ,,,...imagine Ile barabara ya nyakato ingejengwa plus soko la samaki plus SGR na Hilo soko la machinga ... pangekuwa pazuri sana
 
Idea nzuri sana
 
sawa lakini kwenye miji mikubwa lazima kuwepo na mgawanyo wa fursa sio watu wote kurundikana sehemu moja, mkuyuni napo watajengewa soko kubwa sana la samaki na si samaki tu ndizo zitapatikana hapo mkuyuni na biashara nyingine pia, machinga complex maeneo ya mchafukoge kutabadirisha mandhari ya maeneo hayo kuwa ya kisasa kabisa kama ulivyosikia pia kutakuwa na stendi kwa pembeni yake. 🙏 🙏
 
af mkuyuni machinga complex utaijengea wap kwan mkuyun sehemu kubwa imechukuliwa na reli,viwanda hifadhi ya barabara pale mchafukuoga ni pazuri sana aisee
 
Back
Top Bottom