Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
We kaka picture unapata wap
We kaka picture unapata wap
Nakukubali sana bingwa, ukipata muda tembelea pale nyasaka wanajenga min mall kubwa sana ipige picha mkuu, pia na maeneo mengineyo na miradi kama ya machinga complex huko mchafukoge igogo🙏🙏Msiwaze nishatia team
Huyu mwamba huwa anapicha kali sana pamoja na yule mwasisi laizerg pamoja na mkuu cha asubuhi.We kaka picture unapata wap
Kwa nini kaka? 🤣 🤣We kaka picture unapata wap
Unatupia picha Kali ....wakati hata haupo mwanza ..nikijaribu kugoogle Huwa sizipati ..Kwa nini kaka?![]()
![]()

Nyasaka maeneo gani? Mie Nyasaka nyamuge ndio maskaniNakukubali sana bingwa, ukipata muda tembelea pale nyasaka wanajenga min mall kubwa sana ipige picha mkuu, pia na maeneo mengineyo na miradi kama ya machinga complex huko mchafukoge igogo![]()
Nina utaalamu wa ku google😂😂😂Unatupia picha Kali ....wakati hata haupo mwanza ..nikijaribu kugoogle Huwa sizipati ..![]()
Ngoja nimchokoze farasi kwenye uzi wa kahama vs NjombeUnatupia picha Kali ....wakati hata haupo mwanza ..nikijaribu kugoogle Huwa sizipati ..![]()
Inabidi unifunze kidogo...Nina utaalamu wa ku google![]()
Maana Kuna battle nyingine inabidi picha ziongee zaidi kuliko manenoKaribu na maduka tisa kuna project kubwa sana hapo ya ghorofa la min mall itupie humu nilipitaga kitambo sana.Nyasaka maeneo gani? Mie Nyasaka nyamuge ndio maskani
Wewe ni mafia asee😂😂😂
Mkuu hii user name yakoWewe ni mafia asee![]()

!!!Kuna tofauti kati ya kiloleli ,maduka tisa ,na big bite? ,..mi sio mwenyeji sana maeneo yaleKaribu na maduka tisa kuna project kubwa sana hapo ya ghorofa la min mall itupie humu nilipitaga kitambo sana.
Kiloleli ni kata inayopakana na nyasaka, lumala na pasiansi pia ni jirani na mtaa wa kilimahewa na big bite, big bite uliokaribiana na mtaa wa kilimahewa zote zipo kata ya nyamanoro.Kuna tofauti kati ya kiloleli ,maduka tisa ,na big bite? ,..mi sio mwenyeji sana maeneo yale
Hii username imetoka mbali sana nikiichambua kuna wadau watanijua mimi ni nan hasa tuliopiga nao kitabu.
Na hii big bite imeenda adi kushukana na kilima cha isamilo upande wa kusini magharibi.Kuna tofauti kati ya kiloleli ,maduka tisa ,na big bite? ,..mi sio mwenyeji sana maeneo yale
Oh ...sawa,,,,sema Ile mitaa inaingiliana sana ..ndo maana Huwa nashindwa kutofautishaNa hii big bite imeenda adi kushukana na kilima cha isamilo upande wa kusini magharibi.
Uzuri ni mitaa fulani awesome sana mizuri na haina vumbi kama la buhongwa na kishiri.Oh ...sawa,,,,sema Ile mitaa inaingiliana sana ..ndo maana Huwa nashindwa kutofautisha