Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Ni tofauti ,lumala ni ile junction ya barabara inayokutana na nyasaka
Huku ilongazala ni baada ya mataa ya pansiansi kuelekea 7/7
Aisee ..pale redio free ni ilemela au iloganzala.maana mm najuaga baada ya pasiansi ni sabasaba ilemela then ilemela kanisani
 
Aisee ..pale redio free ni ilemela au iloganzala.maana mm najuaga baada ya pasiansi ni sabasaba ilemela then ilemela kanisani
Hapo radio free huwa ni ilemela, inaanza pansians then ilongazala pale shuleni kwenye taa za wenda kwa miguu then inafata sabasaba, ilemela, afu kanisani nk
 
_20221027_181846.JPG

_20221027_182017.JPG
 
Ni maeneo tofauti sana, lumala imepakana na kiseke na pasiansi, lakini iloganzala imepakana na sabasaba na pasiansi ipo katikati.
HIV iloganzala na lumala ni maeneo tofauti? Au pale pale
 
Ni maeneo tofauti sana, lumala imepakana na kiseke na pasiansi, lakini iloganzala imepakana na sabasaba na pasiansi ipo katikati.
Lumala ndo nasikia Kuna nyumba Kali wilaya yote ya ilemela
 
Back
Top Bottom