Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Sasa hotel ,,,sio environment friendly project na ndio maana hata tilapia na malaika ziliwahi pata mgogoro wa kuwa demolished na Sheria ya mazingira
Waache uhuni hayo mabilion ya pesa wanataka kuyapeleka wapi? Au wanataka kupanda miti kwa bilion 76.
 
Amazing GATE ...Ina sounds poa sana
20221025_210737.jpg
 
Humu ndani mmepoa ...ebu changamkeni na hii drone footage
 
Back
Top Bottom