Busan
JF-Expert Member
- Aug 19, 2022
- 644
- 736
Apo eneo sijajuaEneo gani limetengwa, au bado hawajatenga eneo
Apo eneo sijajuaEneo gani limetengwa, au bado hawajatenga eneo
Ulishakufa huo,
mradi wa kanisa la kawekamo unaendelea vzur sana na tarehe 5/11/2022 kutakuwa na changizo kubwa sana kwa ajili ya kumalizia nilimsikia askofu nkwande anasema kanisa litagharimu bilion 8View attachment 2395922
View attachment 2395924
View attachment 2395925
Mwenye updates ya izi miradi
Kwa sasa Tanzania kuna kanisa la gharama zaidi ya b8Hilimradi wa kanisa la kawekamo unaendelea vzur sana na tarehe 5/11/2022 kutakuwa na changizo kubwa sana kwa ajili ya kumalizia nilimsikia askofu nkwande anasema kanisa litagharimu bilion 8
Bajeti ya 2022/2023 bado ilikuwa kwny upembuzi yakinifuHii ni budget ya wizara ya ujenzi mwaka 2022/23.
Kifungu no. 72 kinailezea hiyo barabara ya Mwanza/Shinyanga..View attachment 2396104
ilemela wakipata hzo pesa wajenge jengo la kitega uchumi pale buzuruga then pesa nyingine wajenge garden nzur pamoja na barabara za Lami km hata 10Huu mrad wa green city kwa majiji ya mwanza kama upo serious Sana jamaa watatoa euro milion 75 kwa ajili ya majiji 3 mwanza,tanga na pemba lengo ni kuboresha miundombinu pamoja na masoko sasa sijajua kwa exchange rate euro 75m ni sawa na bn ngp
Nadhani Nyamagana waboreshe makazi ya Mabatini zijengwe ata apartmentsnyamagana wao wajenge ule mrad wa tempere pamoja na barabara za lami
Wanasubiri wawekezaji, sijui walishasikia wapi kwamba wao waache watu wajenge hovyo then watakuja wawekezaji kupanga baadaeNadhani Nyamagana waboreshe makazi ya Mabatini zijengwe ata apartments
😃😃😃😃😃😃😃Wanasubiri wawekezaji, sijui walishasikia wapi kwamba wao waache watu wajenge hovyo then watakuja wawekezaji kupanga baadae
Nyamagana siasa nyingi sanaWanasubiri wawekezaji, sijui walishasikia wapi kwamba wao waache watu wajenge hovyo then watakuja wawekezaji kupanga baadae
Euro milion 75 ni kama bilion 216, zitagaiwa kwa majiji matatu ikiwepo mwanza kila jiji litapata bilion 72.Huu mrad wa green city kwa majiji ya mwanza kama upo serious Sana jamaa watatoa euro milion 75 kwa ajili ya majiji 3 mwanza,tanga na pemba lengo ni kuboresha miundombinu pamoja na masoko sasa sijajua kwa exchange rate euro 75m ni sawa na bn ngp
Tampere park ndio habari ya mji, kisha wapange mji wa mabatini ata kwa kujenga magorofa makubwa matano kwa bilioni 20 then pesa zitakazobaki, wapige barabara za kuunganisha kila kata.nyamagana wao wajenge ule mrad wa tempere pamoja na barabara za lami
Ushaambiwa ni mradi wa green ... project zake ziende kwenye sekta ya mazingira,,,,maybe hyo parks saw.pamoja na uboreshaji fukweTampere park ndio habari ya mji, kisha wapange mji wa mabatini ata kwa kujenga magorofa makubwa matano kwa bilioni 20 then pesa zitakazobaki, wapige barabara za kuunganisha kila kata.
Wajenge hotel za nyota tano maeneo ya fukwe kama kule bwiru na igombe.Ushaambiwa ni mradi wa green ... project zake ziende kwenye sekta ya mazingira,,,,maybe hyo parks saw.pamoja na uboreshaji fukwe
Sasa hotel ,,,sio environment friendly project na ndio maana hata tilapia na malaika ziliwahi pata mgogoro wa kuwa demolished na Sheria ya mazingiraWajenge hotel za nyota tano maeneo ya fukwe kama kule bwiru na igombe.