intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Sasa hv mabula ni makamu mwenyekiti wa kamati ya fedha so ataishauri bunge vzur sana
😄😄😄😄😄😄 hata mm nachoka cha kushukuru upembuzi umeisha na hii road ni muhimu sanaWaziri anatuchanganya tu ,,,,Kwa sababu tanroads wenyewe wamepanga kuweka taa za barabarani mwaka huu sasa kama Kuna plan ya ujenzi hizo taa za kazi Gani
Nimeisikiliza video....hamna plan ya kuanzia mkuyuni...inaanzia mjinihata mm nachoka cha kushukuru upembuzi umeisha na hii road ni muhimu sana
Ni kweli, hizo ni maintenance tuWanafanya maintenance ya kawaida tu
Kwa ajili ya usalamaWaziri anatuchanganya tu ,,,,Kwa sababu tanroads wenyewe wamepanga kuweka taa za barabarani mwaka huu sasa kama Kuna plan ya ujenzi hizo taa za kazi Gani
Wewe umeelewa kama mimi, tulikuwa tunalaumu tanroad bure, ila nafikiri bajeti ijayo wanaweza tenga fedha kidogo ujenzi uanzeNimeisikiliza video....hamna plan ya kuanzia mkuyuni...inaanzia mjini
ila bora wachukue hata mkopo barabara iishe kuliko kututengea km 5 kila bajetiWewe umeelewa kama mimi, tulikuwa tunalaumu tanroad bure, ila nafikiri bajeti ijayo wanaweza tenga fedha kidogo ujenzi uanze
Hivi ule mpango wa njia nne Mwanza to kigongo uliishia wapi?Inatakiwa hivyo, daraja likikamilika kabla ya barabara ujenzi pia wa barabara utakuwa mgumu na wa gharama sana. Ongezeko la magari litakuwa kubwa. Inawezekana hata njia mpya za Mabasi zikaanzisha, Bariadi - Geita, Bariadi -Bukoba, Shinyanga - Geita, Bado gari za mizigo. Mombasa-Kigali/ Congo
Haukwepeki, ni watachelewesha tuHivi ule mpango wa njia nne Mwanza to kigongo uliishia wapi?
, sawa
Kwa izo pesa napendekeza barabara ya Kenyatta ianze kujengwa, Tampere park na stand ya daladala NataKumbe ule mradi waliotoa EU wa kuboresha green city za mwanza,tanga na pemba ni real zimetolewa euro milion 75 kwa hyo miji 3 na halmashauri husika zimeambiwa ziandae mapendekezo ya namna ya kuboresha miji yao
Huu mradi wa Tampere unahusisha nini , na utakuwa eneo ganKwa izo pesa napendekeza barabara ya Kenyatta ianze kujengwa, Tampere park na stand ya daladala Nata
Unahusisha eneo la bustani,michezo n.kHuu mradi wa Tampere unahusisha nini , na utakuwa eneo gan
Eneo gani limetengwa, au bado hawajatenga eneoUnahusisha eneo la bustani,michezo n.k