Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Lete source ya serikali, hii ni mawazo ya mwandishi tu, ndio maana kaandika phase 5 iko kwenye procurement stage, hii inaonyesha hajui lolote.
Mi sina hiyo access, nimeleta kile nilichokutana nacho kama unaona hakiko sawa unaleza kuleta taarifa yako...
 

Nimesikiliza hii clip kumbe intelligent alitudanganya kusema njia nne zinaanzia mkuyuni.
Hapa waziri alikuwa anataja maeneo barabara inapita ndio akasema, Mwanza, mkuyuni, nyegezi, Mkolani, buhongwa nyashishi, usagara hadi mwanangwa
 

Nimesikiliza hii clip kumbe intelligent alitudanganya kusema njia nne zinaanzia mkuyuni.
Hapa waziri alikuwa anataja maeneo barabara inapita ndio akasema, Mwanza, mkuyuni, nyegezi, Mkolani, buhongwa nyashishi, usagara hadi mwanangwa

Yupo sahihi inaanzia mkuyuni, lakini napenda kuulza huu ujenzi wa barabara utaanza lini?
 
Unamaanisha barabara na daraja vitakamilika kwa wakati mmoja?
Inatakiwa hivyo, daraja likikamilika kabla ya barabara ujenzi pia wa barabara utakuwa mgumu na wa gharama sana. Ongezeko la magari litakuwa kubwa. Inawezekana hata njia mpya za Mabasi zikaanzisha, Bariadi - Geita, Bariadi -Bukoba, Shinyanga - Geita, Bado gari za mizigo. Mombasa-Kigali/ Congo
 
Inatakiwa hivyo, daraja likikamilika kabla ya barabara ujenzi pia wa barabara utakuwa mgumu na wa gharama sana. Ongezeko la magari litakuwa kubwa. Inawezekana hata njia mpya za Mabasi zikaanzisha, Bariadi - Geitta, Bariadi -Bukoba, Shinyanga - Geita, Bado gari za mizigo. Mombasa-Kigali/ Congo
Private car nazo ndo zitakuwa nyingi sana
 
Inawezekana na barabara nimepita jana kuanzia Misungwi kuelekea Hungumalwa kuna wakandarasi site
Hili swala la barabara inabid mbunge mabula the boy alichomekee raisi akija kuzindua stand
 
Back
Top Bottom