Ndio inapojengwa hapoStendi ya sgr itajengwa kwenye zile nyumba za polisi station road na hizo nyumba zinavunjwa zote kuna ndugu yangu anaishi pale kanambia wanatakiwa kuhama mapema..ila patapendeza sana hayo maeneo maana kuna mahotel tatizo ni vinyumba vya tanroads hapo
Hahaaa Mkurugenzi wa TRC anaitwa Masanja Kungu Kadogosa kwahiyo hayo majina uliyoyataja niya mtu mmoja...Hata hizi stesheni kuwa nzuri ni sababu ya kina Kadogosa na yule jamaa anaitwa masanja, hivi hivi tungepigwa stesheni za ajabu na treni ingekomea Fela
Huyu ni nyanda pure ....ngosha paseeHahaaa Mkurugenzi wa TRC anaitwa Masanja Kungu Kadogosa kwahiyo hayo majina uliyoyataja niya mtu mmoja...
Kuna engineer mmoja ana Jina la Masanja piaHahaaa Mkurugenzi wa TRC anaitwa Masanja Kungu Kadogosa kwahiyo hayo majina uliyoyataja niya mtu mmoja...
Kuna meneja miradi anaitwa Engineer Machibya MasanjaHahaaa Mkurugenzi wa TRC anaitwa Masanja Kungu Kadogosa kwahiyo hayo majina uliyoyataja niya mtu mmoja...
OkKuna engineer mmoja ana Jina la Masanja pia
Mchechu atamripoti kwa Mama atolewe na kwenye uwaziriKwann huyu Maza asiforce Nhc walete mradi mwanza
Kwa ambae ameona video ya reli Tv ya juzi kuna engineer anaelezea kuwa daraja litaanzia mswahili pale walipoweka mabati Hadi chakechakeNimeangalia vizuri michoro ya hii viaduct, kwanza kabisa nilichogundua haitafuata njia ya zamani bali itavuka barabara kabla ya kufika vicfish.
View attachment 2395056
View attachment 2395059
Ukiangalia hii picha utaona barabara iko katikati ya mgr na sgr.
View attachment 2395057
Kwenye hii picha utaona reli ya zamani ikiwa imefanya matawi hii ina maana hapa ni mwanza south na ndio ikapoanzia kushuka chini na kuingia bandarini pia.
Nilipotoa proposal yangu ya kupitisha barabara huku upande wa ziwani kuna mtu alisema kumebanana, ila kwa jinsi inavyoonekana upande huo wa ziwani kuna structure nyingi zinaenda kubomolewa kupisha sgr.
hata mimi niliona iyo video ila chakechake ndio nikawa sifahamu ni wapi...Kwa ambae ameona video ya reli Tv ya juzi kuna engineer anaelezea kuwa daraja litaanzia mswahili pale walipoweka mabati Hadi chakechake
Kwa watengeneza Pemba ..hata mimi niliona iyo video ila chakechake ndio nikawa sifahamu ni wapi...
Chakechake ni pale kwny kile kicentre karibu na yale matren mabovuhata mimi niliona iyo video ila chakechake ndio nikawa sifahamu ni wapi...
Mchina anapiga kaz balaa nimepita pale walipoweka mabati wameshaanza kusuka beam za darajaHivi Tabora Isaka kapewa nani?
Mimi naona angepewa mchina tu, na tabora kigoma wampe mchina. Nimeanza kumpenda mchina, Yapi yuko vizuri tatizo vituo
Vipande vyote kapewa mturuki Yapi Merkazi isipokua hicho cha tano (Mwanza - Isaka)Hivi Tabora Isaka kapewa nani?
Mimi naona angepewa mchina tu, na tabora kigoma wampe mchina. Nimeanza kumpenda mchina, Yapi yuko vizuri tatizo vituo
Lete source ya serikali, hii ni mawazo ya mwandishi tu, ndio maana kaandika phase 5 iko kwenye procurement stage, hii inaonyesha hajui lolote.Vipande vyote kapewa mturuki Yapi Merkazi isipokua hicho cha tano (Mwanza - Isaka)
![]()
SGR Archives
Tanzania is currently expanding the country’s rail network with the construction of a Standard Gauge Railway (SGR) to replace its meter-gauge railway.www.tanzaniainvest.com
Ni kweli Mkuu, Nera na Kirumba sasa hivi kuna mitaa hawatoi building permit kama unajenga Nyumba ya kawaida. Ndio maana Nyumba nyingi zimechoka renovation kubwa hupewi permitView attachment 2395313
Nimeangalia hii picha, uwanja wa Nyamagana umebanana sana kujenga majukwaa na Parking za magari.
Wazo langu halmashauri ya jiji waongee na watu wa posta na simu, pamoja na uhamiaji ikiwezekana hata tamesa pia, wote hawa wahame.
Pale Nera kuna vijumba vimechoka, jiji wajitoe muhanga kununua hivyo vijumba kisha wayape hayo mashirika niliyoyataja wajenge ofisi, na nahisi watajenga maghorofa mazuri