Bila shaka kadri miaka inavyoenda chuo kitakuja tu, mfano DIT campus ya Mwanza baada ya maboresho lazima wataipandisha hadhi na kuwa chuo kamili kama ilivo DIT,ATC nk.
Kwa upande wa miradi ya kimkakati inayoendelea huu mji nakuhakikishia unakuja kuwa mji mzuri na mkubwa wenye hadhi kubwa upande wote wa nchi za maziwa makuu.
Tatizo la viongoi wetu walio wengi hupenda kufanya mambo katika hali ya kawaida ,mfano kuanzia hapo mkuyuni kama unaingia mjini kupoitia mswahili mpaka kwenye kiwanda cha samaki Vicfish panatakiwa pawe na Gardeni za kisasa kabisa ambazo kingo zake zingenjengelewa kwa mawe na sehemu hiyo inakuwa ni sehemu ya mapumziko huku watu wakipata upepo wa ziwa na kufurahiwa magari yakiingia mjini na hiyo inachagiza vijana kufanya biashara ndogondogo kama ilivyo Cocobeach kwa sasa.
our reader must be innovative kwa sehemu kubwa.