Mwanza City: The Photo Gallery

Naona dar ...huko mbele itakalishwa chini mambo yanazidi kuilemea

Japokuwa GAP bado kubwa ila kufunguliwa Kwa uchumi katika mikoa mingine kumefanya dar isiwe kimbilio la kiuchumi View attachment 2394049
ni shughuli gani zinaweza pelekea mwanza kuipita Dar kiuchumi? aisee ni ngumu sanaaaa Dar ni lango la nchi kiuchumi
 
ni shughuli gani zinaweza pelekea mwanza kuipita Dar kiuchumi? aisee ni ngumu sanaaaa Dar ni lango la nchi kiuchumi
Ni kweli kabisa ,dar ni lango la uchumi ...lakini now inaelekea kuwa mlango wa nyuma ,maana milango mingine inazidi kufunguka.sababu zinazoweza kuifanya dar ipitwe na mwanza ni hizi

1 :mwanza kuwa hub ya biashara Africa mashariki,pale mwanza itakapojengewa miundombinu Bora ya kuunganisha na miji ya nchi zingine za maziwa makuu..
2 : uwekezaji mkubwa katika sekta ya madini .almasi misungwi, dhahabu sengerema .
3 uwekezaji katika sekta ya viwanda.hasa agriculture based ,
4 fishing reform.mapinduzi katika sekta ya uvuvi na samaki (sangara pekee walichangia export ya asilimia 90 ya mauzo ya samaki nje ya nchi .(bilioni 500). assume hapo Kuna uvuvi primitive je tukiwa na uvuvi modern itakuwaje .
5 ujenzi na uboreshaji wa uwanja wa ndege Mwanza hii itainyima dar wasafiri wa kimataifa Toka Kanda ya ziwa na mizigo ya samaki kwenda ulaya itaishia mwanza.
6 kugawa mikoa katika majimbo ...ziwe semi autonomous....hii itafanya resources nyingi zisipelekwe dar ziishie ndani ya mikoa
 
Kaka acha kujifirahisha dar haiwezi pitwa na mkoa wowote kwa sasa, labda baada ya miaka 50
 
Kaka acha kujifirahisha dar haiwezi pitwa na mkoa wowote kwa sasa, labda baada ya miaka 50
Kwann.... because...GDP YA dar ni flagile ..it can be broken anytime ...na imekuwa fortfied na serikali....GDP ya dar inachangiwa na vifuatavyo
1 .bandari (sera inaweza badilika , bandari ikahamishiwa mkoa wa pwani ,au Tanga kulingana na serikali husika, bandari ya mtwara inaboreshwa Kwa hyo mizigo ya dar inaweza pungua huko mbele kama bandari zingine zikiboreshwa )
2 viwanda (viwanda vingi vinahamia mkoa wa pwani ,dar sio eneo rafik Tena Kwa uwekezaji wa viwanda)
3 biashara (kariakoo nk) kukua Kwa miji mingi Africa mashariki kunapunguza uhitaji wa watu kwenda kariakoo kufanya shopping.mfano ni Kampala ,.. biashara nyingi Kanda ya ziwa zimeanZa kuhamia kununua bidhaa Kampala
4 utalii ( kuimarika Kwa utalii visiwani Zanzibar kunaifanya dar kukosa Cha ziada Cha kuvutia watalii ukiacha shopping sites
.ukitizama Kwa umakini utaona factor za uchumi dar ziko too much artificial na fragile kama serikali ikiamua kubadili sera Zak
 
Wewe ni mbobezi wa uchumi๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Wewe ni mbobezi wa uchumi
No kaka . tunajaribu kufikiri nje ya box ,,,,mi ninachojua hamna kinachoshindikana...gazeti la the citizen wamesema japo dar ni hub ya uchumi Tanzania lakin Ukuaji wake umepungua wakati mikoa mingine ikipata nguvu ..unadhani sababu ni zipi ...ni hizo hapo
juu
 
Mkuyuni kwenye sgr mambo ni fire sana jana nilikuwepo maeneo yale ni kuwa watu asilimia kubwa wamevunja majumba yao wameshalipwa sehemu ambapo hawajavunja ni kuwa kuna migogoro ya kifamilia kuhusu malipo so wakisolve wanalipwa pesa halafu kuhusu daraja la juu ni kuwa litaanzia pale ambapo wamezungushia mabati had stesheni
 
 

Attachments

  • Photo_by_MWAUWASA_on_December_17,_2021..jpg
    187.3 KB · Views: 19
Daraja halifiki stesheni, stesheni itakuwa chini na ni pembeni ya ile ya zamani.

Kama ikifika stesheni litakuwa ni tuta tu limenyanyuliwa juu
 
Ila watu wa nyegezi siwawezi, mnatuambia maghorofa yanaibuka kama uyoga nyegezi kumbe hamna kitu.
Maeneo yanayozunguka stendi Nyamhongolo iko Well organized kushinda Nyegezi.
Kwenye maandishi neno NYeGEZI
Hiyo herufi e taa zishakufa tayari.

Nilichopenda ni kuweka baadhi ya maduka kufungukia nje
 
 
nadhani walimaanisha project ambazo barabarani ,,. maeneo ya kamanga hospital na kuelekea nyegezi Kona ...
 
Kaka video .umeitizama usiku ,, sidhani kama ungeweza kuona vyote ....... nyegezi pamebadilika hata sio Kwa kiwango ambacho wew ulitarajia ..let's say change ipo
 
Kaka video .umeitizama usiku ,, sidhani kama ungeweza kuona vyote ....... nyegezi pamebadilika hata sio Kwa kiwango ambacho wew ulitarajia ..let's say change ipo
Mbona kuna picha nyingi tu za stendi za mchana, hakuna kitu

Hii ni usiku?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ