intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Ndio ni majabali ila sijajua litakuwa na uwezo wa kuchukua abiria wangapHili dude liko too classic, wajitahidi hata mazingira yanafanie vile yalivyo kwenye render. Hii ni art of architecture ya majabali ukiicheki kwa kina.
Ipo humu sikumbuki ule uzi,ila station ya Dodoma nayo ni kali sana...Hv station ya Dodoma cjaiona ila fela itakuwa inabeba abiria mia 6 wakat morogoro abiria mia 4
Vizuri kabisa naona tunaanza kuelewana.Aisee asubuh nimepita maeneo ya kuanzia voil had junction ya pamba road kwa gari mbona panawezekana sana kujenga njia nne vizur mnoo sehemu ambayo haiwezekaniki ni kuanzia pamba road kwenda had soko kuu pamoja na ppf plaza
Dodoma iko vizuri piaIpo humu sikumbuki ule uz,ila station ya Dodoma nayo ni kali sana...
ila ya mwanza ni balaa aiseeDodoma iko vizuri pia
Nina was was hii project itapunguzwa , badala yake yakajengwa majengo ya kawaida Sana, project kama hii inahtajika maamuz ya kibabe haswa kuiweka on air , sioni kiongozi wa kukaza
Arush n mji wa kitalii na exposure na interaction m kubw kutok nje na mjii mikubw East Africa na investments za private sector n kubw hasa hotels ata ujenganj wa majengo n tofaut n marefu shida mwnz inajengw san na wakaz wake private sector ndo kidog zimeanz kuj jpo sio san n km mji fulan umetengw ila n mzur san naturalnaturally umekosa tu uwekezaj wa maan hasa city centre na arush n pale city centre ndo pazur ila mitaan hapafai ila cbd n uhakikaIla Mwanza napo pazuri,lkn Arusha ni pazuri zaidi,maana nikifika Arusha huwa najihisi kama vile siko Tanzania niko nje ya nchi,wakati nikiwa Mwanza najiona niko mji flani mzuri ila ni hapa hapa Tanzania...
Arusha mjini Kati ni pazuri ofcoz na ni eneo dogo Sana, ila Mwanza ni kubwa mno mgeni yoyote yule anaweza ifananisha na Arusha Sababu hawezi pata muda kuizunguka Mwanza nzima kuimaliza, imagine muda anaotumia mtu kutoka nyashishi mpaka nyamhongolo, ni zaidi ya lisaa limoja, sasa Hilo lisaa kwa Arusha ukianzia mji unapoanzia ndani ya lisaa limoja utajikuta ushafika Moshi mjini unaitafuta sameArush n mji wa kitalii na exposure na interaction m kubw kutok nje na mjii mikubw East Africa na investments za private sector n kubw hasa hotels ata ujenganj wa majengo n tofaut n marefu shida mwnz inajengw san na wakaz wake private sector ndo kidog zimeanz kuj jpo sio san n km mji fulan umetengw ila n mzur san naturalnaturally umekosa tu uwekezaj wa maan hasa city centre na arush n pale city centre ndo pazur ila mitaan hapafai ila cbd n uhakika
Huwa nashangaa sana waafrika wanadhani uzuri wa miji ni majengo marefu tu waangalie miji kama barcelona na miji ya ujerumani ilivyo, zina majengo mafupi lakini yanapendeza sana kuliko ata majengo marefu.Watu wa mwanza tunataman . majengo makubwa marefu lakini miji ya ulaya Ina majengo mafupi lakini yanavutia na kupendeza
Hii stesheni ni tishio asee, na uzuri huyu mchina wa sgr anachofanya ni kudesign na kujenga, nadhan muda wowote wataanza ujenzi wa hizi stesheni kama walivyoanza ujenzi wa daraja la sgr hapo mkuyuni.
utakuwa umechanganya madesa, humu hatutaki kushindanisha miji tunataka mambo ya msingi yahusuyo jiji letu la Mwanza.Ila Mwanza napo pazuri,lkn Arusha ni pazuri zaidi,maana nikifika Arusha huwa najihisi kama vile siko Tanzania niko nje ya nchi,wakati nikiwa Mwanza najiona niko mji flani mzuri ila ni hapa hapa Tanzania...
wachina nakuhakikishia wanajenga hiyo station kama ilivyo na uzuri wanafanya design and build philosophy.Nina was was hii project itapunguzwa , badala yake yakajengwa majengo ya kawaida Sana, project kama hii inahtajika maamuz ya kibabe haswa kuiweka on air , sioni kiongozi wa kukaza
Haya malinganisho ingekuwa bora ungeyapeleka kwenye uzi husika.Arush n mji wa kitalii na exposure na interaction m kubw kutok nje na mjii mikubw East Africa na investments za private sector n kubw hasa hotels ata ujenganj wa majengo n tofaut n marefu shida mwnz inajengw san na wakaz wake private sector ndo kidog zimeanz kuj jpo sio san n km mji fulan umetengw ila n mzur san naturalnaturally umekosa tu uwekezaj wa maan hasa city centre na arush n pale city centre ndo pazur ila mitaan hapafai ila cbd n uhakika
Ni nashangaa wanaomjibuutakuwa umechanganya madesa, humu hatutaki kushindanisha miji tunataka mambo ya msingi yahusuyo jiji letu la Mwanza.
Hadi nimewaza app iboreshe ili mwanzilishi wa Uzi aweze kufuta/kuzuia baadhi ya watu waiscomment au kuuona uzi kabisa....Ni nashangaa wanaomjibu
Mchina Hana shida tatizo ni funds,wachina nakuhakikishia wanajenga hiyo station kama ilivyo na uzuri wanafanya design and build philosophy.
Wameshasign contract kakaMchina Hana shida tatizo ni funds,
Pesa ni ile ile ipo fixed trilion 3+ sio mchezo mkuu kwa 341km, yule mturuki hakuwa na station bora lakin mchina atajenga station nzuri kama michoro inavyoonesha๐๐๐๐Mchina Hana shida tatizo ni funds,