Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Waziri mkuu ameupiga mwingi sana kwny daraja la kigongo busisi akasema wameshamaliza kujenga nguzo za daraja sasa hv wanaweka vyumba kwa ajili ya kushikilia Lami itakayowekwa
Mi navuka apo Busisi karibia kila mwezi, mara ya mwisho kuvuka hapo ilikua mwezi wa 9 juzi tu...
Kiukweli daraja linaendelea ila nguzo sio zote zimekamilika hasa upande ule wa Sengerema(Busisi) speed ni ndogo kama alikua anazungumzia foundation za nguzo apo sawa, ila kwa huu upande wa Mwanza (Kigongo) zaidi ya nguzo 15 zimekamilika na ndio ambako wameanza kutandika kitanda cha barabara...
Ila ni jambo la kushukru Mungu hii miradi mikubwa iliyoachwa na JPM hawajaitupa na wanaifatilia kwa ukaribu...
 
Huwezi kuangusha majengo yote yale fidia itakuwa mabilion mengi sana waache waanzie mkuyuni tu then mkuyun adi city centre kutakuwa na daraja la juu la train pia wanaweza kuweka flyover ya magari adi mkuyuni.
Lakini itabidi waifanyie maboresho hiyo barabara kutoka town hadi apo zitakapoanzia njia nne maana imechoka sana...
 
Huwezi kuangusha majengo yote yale fidia itakuwa mabilion mengi sana waache waanzie mkuyuni tu then mkuyun adi city centre kutakuwa na daraja la juu la train pia wanaweza kuweka flyover ya magari adi mkuyuni.
Ni advantage kwa barabara za Igogo/ Bugarika / Mahina zitapewa nafasi ya.kuboreshwa ili kupunguza jam city center
 
Sijaiona umehimu wa njia nne kufika mwanangwa ,,,ni matumizi mabaya ya resources ........ wangejenga Hadi usagara km 25 ,, wakajenga town Hadi kisesa km 18 .then Usagara Hadi kigongo km 10
Hivi unajua daraja la kigongo busisi likiisha magari yatakuwa mengi hv unajua reli ya umeme ikiisha magari yatakuwa mengi?
 
Mradi upo Kasi Sana sahv mzee kinachochukuaga mda ni kwny Mobilization sijui kuleta vifaa na kujenga makambi wakimaliza huwa ni faster faster sasa hv mrad upo asilimia 14 usijeshangaa ripot ya January umefika asilimia 30
 
Naibu waziri wa ujenzi Eng kasekenya amesema watajenga barabara ya njia nne kuanzia mkuyuni Hadi mwanangwa misungwi km 55 upembuzi yakinifu umekamilika na suala wameshalipeleka kwa mh Raisi so pesa zikipatikana ujenzi utaanza
Mkuyuni wanaanzia wapi labda butimba Kona ...Kwa sababu kuanzia pale mswahili Kuna viwanda na magodown ya magodoro pamoja na sheli ziko road kabisaa
 

Kitombile uache uchawi wako wa Kuwaza vitu vidogo eti njia nne zianzie mkuyuni kisa unaogopa bomoabomoa.

Sasa BRT tutajengaje tukiogopa bomoabomoa,
Kubomoa kuna saidia kureshape mji.
Mbona kwenye huu mchoro naona njia nne zikipita chini ya hii flyover ya reli.
 
Back
Top Bottom