intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
ila naona daraja la kigongo busisi litakamilika kwa wakati ila waziri mkuu kazisisitiza halmashauri za misungwi na sengerema wapime maeneo ya karibu na daraja watu wajenge hotel za kitalii kwan daraja lenyewe ni la kitalii