intelligent man
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 706
- 1,126
Hv takwimu za sasa lipo asilimia ngp
Hv takwimu za sasa lipo asilimia ngp
Naona Bukoba UDSM wamepewa hati...na washatenga zaidi ya billion 18 kujenga chuo kikuu...Sioni ulazima wa kuwepo chuo kikuu Cha serikali kama Kuna vyuo vikuu vya private vyenye ubora pamoja na taasisi zinazotoa mafunzo katika fani mbali mbali za elimu ya juu....maybe tu useme ni sifa ...
Katika fani ya afya Kuna CUHAS
fani ya teknolojia Kuna. DIT
fani ya biashara Kuna TIA ,CBE na IFM
fani ya mipango na maendeleo ya jamii Kuna IRDP
fani za sayansi ya jamii , humanity n.k Kuna SAUT .
katika suala la elimu ya juu hatuko nyuma sana kikubwa maboresho tu yafanyike
Hao watu ni wasafi na kwa plan za Nyerere Mwanza iliplaniwa sawa na Dsm kwa mbali,sema kidogo Barabara za kuingiza na Kutoka ni ndogo ila Airport road iko njemaKwahio huu mji ndio mnalinganisha na Arusha ? Wasukuma mnatabu kwelikweli.
The Rock City,kule villa Park kuko njema Sana,pamoja na Rock city mall nata Pako njema ila Barabara ziko too tight, junction ya Pamba road iko njema hotel nyingi zimejipanga hapo na kuna lake view at night it's like montrealHapo ni mwanza au ulaya
Shida treni tumeua kwa nguvu zetu wenyewe,hilo jini ilitakiwa watu waingie mjini kwa kutumia SGR city train na sio mabasiHao watu ni wasafi na kwa plan za Nyerere Mwanza iliplaniwa sawa na Dsm kwa mbali,sema kidogo Barabara za kuingiza na Kutoka ni ndogo ila Airport road iko njema
Ni kweli huo mji wamejaa wenyeji hakuna foreignerInabidi akija mwanza tumchane, tunataka chuo kikuu kikubwa misiri ya UDSM tupate hata foreign students
Kumbe mabati machakavu sio hoja ya ubovu wa project..mbona hii hotel Ina mabati machakavuUpdate ya hotel ya nyota saba kwa nyuma, ambako ni gorofa nne lakini kwa mbele zinaonekana gorofa nane kutokana na land scape ya eneo husika kuwa na milima.
View attachment 2389531View attachment 2389536View attachment 2389546
Kumbe mabati machakavu sio hoja ya ubovu wa project..mbona hii hotel Ina mabati machakavu
Pale karibu na nyumba ya msukuma eneo la capripoint kuna mtaa wake
View attachment 2389549


ila msukuma ana sifaKumbe hata Nyerere road panawezekana ilikuwa project kubwa tuNami nimeona mkuu, mtu anaweza kuweka bati chakavu lakini project ikawa kubwa sana.
54 percentHv takwimu za sasa lipo asilimia ngp
Daraja litapendeza .swali langu ikitokea meli inataka kwenda upande wa pili wa daraja itapitaje Kwa sababu naona daraja kimo chake sio kirefu SanView attachment 2389165