Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Yaani sisi huwa tunaima viwanja vya nyumba na kuuza vyote hatuwazi kuhifadhi maeneo kwa miradi mikubwa ya baadae.Kwa sasa hivi sidhani kama nafasi itapatikana ya kutoa aridhi ya chuo Kikubwa ndani ya jiji. Hii yote ni kutokana na miji yetu kutokutunza aridhi kwa ajili ya project maalum. Chuo kikijengwa labda Misungwi/ Magu/ Sengerema
Inatakiwa kila kata tuhifadhi ardhi
