Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Bunge na wizara
Mkuu wizara na bunge ikaona barabara kuu ya kenyatta isubiri kwanza, wajenge ya igawa adi tunduma 200+ dual carriage ndio ya muhimu zaidi kuliko ya Mwanza ambayo ina mashimo na makorongo toka enzi ya hayati babu makapa.
 
Hata hyo ya tunduma inajengwa Kwa awamu ..Hadi inakamilika hii ya shinyanga road itakuwa ishaanza kujengwa
 
Mwanza mnazidi kupigwa na kitu kizito.. GEITA yachukua position ya mwanza..wanasiasa ni mbwa aisee
Hv Daraja la kigongo linajengwa Kwa ajili ya geita Tena na sio mwanza ....
mwaka huu hamna rangi tutaacha kuiona...
Walivyokuwa wanasema mwanza to be hub of business and economy in east Africa walikuwa wanamaanisha nn
PSX_20221016_085423.jpg
PSX_20221016_085527.jpg
PSX_20221016_085453.jpg
 
Mwanza mnazidi kupigwa na kitu kizito.. GEITA yachukua position ya mwanza..wanasiasa ni mbwa aisee
Hv Daraja la kigongo linajengwa Kwa ajili ya geita Tena na sio mwanza ....
mwaka huu hamna rangi tutaacha kuiona...
Walivyokuwa wanasema mwanza to be hub of business and economy in east Africa walikuwa wanamaanisha nn View attachment 2388741View attachment 2388742View attachment 2388743
Hizo siasa tu mzee baba, hao wageita wenyewe wakipata mapesa yao huko yadhahabu wanakuja kujenga Mwanza, tena ilo daraja litainua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza kuliko sehemu nyingine ya kanda ya ziwa kwasababu final destination ya mikoa yote ya kanda ya ziwa na nchi jirani za burindi, congo, s.sudani, uganda n.k huwa ni Mwanza.
 
Anajenga jina lake tu kwenye jukwaa, kama geita ni lango kusingekuwa na haja ya kujenga daraja.
 
Hizo siasa tu mzee baba, hao wageita wenyewe wakipata mapesa yao huko yadhahabu wanakuja kujenga Mwanza, tena ilo daraja litainua zaidi uchumi wa mkoa wa Mwanza kuliko sehemu nyingine ya kanda ya ziwa kwasababu final destination ya mikoa yote ya kanda ya ziwa na nchi jirani za burindi, congo, s.sudani, uganda n.k huwa ni Mwanza.
Na vice versa inawezekana kama nasikia baadhi ya biashara sa hv zimehamia katoro
 
Mwanza mnazidi kupigwa na kitu kizito.. GEITA yachukua position ya mwanza..wanasiasa ni mbwa aisee
Hv Daraja la kigongo linajengwa Kwa ajili ya geita Tena na sio mwanza ....
mwaka huu hamna rangi tutaacha kuiona...
Walivyokuwa wanasema mwanza to be hub of business and economy in east Africa walikuwa wanamaanisha nn View attachment 2388741View attachment 2388742View attachment 2388743
Huyu mama naona siku hz anaichukia mwanza kama Hayati magu alivyokuwa haipend arusha
 
Huyu mama haipendi Mwanza kiukwel ata akienda geita haputi mwanza, akienda bukoba hapiti Mwanza, alivyoenda mara pia, ila hizi ndio siasa cha msingi ata yeye atapita na Mwanza itaendelea kuwepo.

Mkuu iko hivi wabongo tunapenda sana kufata upepo wa matukio, na wanasiasa wanatumia gepu hilo, sasa hivi unaweza kumchukia mwanasiasa lakini mwaka mmoja au miezi kadhaa kabla ya uchaguzi anajiweka karibu sana na wananchi mpaka mnasahau yote ya nyuma. Na kwenye siasa Mwanza na kanda ya ziwa kiujumla ni mikoa ya kimkakati.
Ngoja ifike 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni kama hatutaanza kusema mama anaupiga mwingi Mwanza, nipo Buswelu nimekaa mtaniambia.
Kuanzia bajeti ya 2024/25 mtaipenda
 
Kuna miji hapa Tanzania lazima uikumbuke tu ata kama huipendi na Mwanza ni moja kati ya miji hiyo.
 
Mkuu iko hivi wabongo tunapenda sana kufata upepo wa matukio, na wanasiasa wanatumia gepu hilo, sasa hivi unaweza kumchukia mwanasiasa lakini mwaka mmoja au miezi kadhaa kabla ya uchaguzi anajiweka karibu sana na wananchi mpaka mnasahau yote ya nyuma. Na kwenye siasa Mwanza na kanda ya ziwa kiujumla ni mikoa ya kimkakati.
Ngoja ifike 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni kama hatutaanza kusema mama anaupiga mwingi Mwanza, nipo Buswelu nimekaa mtaniambia.
Kuanzia bajeti ya 2024/25 mtaipenda
hv uko buswelu bado maji ni shida ? ..na mpango wa kutafuta room huko ..nataka nikae mbali na mjini ,,,
 
Buswelu maji sio shida kwa sasa bada ya tank kubwa kukamilika na kuanza kutumika.
 
Mkuu iko hivi wabongo tunapenda sana kufata upepo wa matukio, na wanasiasa wanatumia gepu hilo, sasa hivi unaweza kumchukia mwanasiasa lakini mwaka mmoja au miezi kadhaa kabla ya uchaguzi anajiweka karibu sana na wananchi mpaka mnasahau yote ya nyuma. Na kwenye siasa Mwanza na kanda ya ziwa kiujumla ni mikoa ya kimkakati.
Ngoja ifike 2024 mwishoni au 2025 mwanzoni kama hatutaanza kusema mama anaupiga mwingi Mwanza, nipo Buswelu nimekaa mtaniambia.
Kuanzia bajeti ya 2024/25 mtaipenda
Mwanza, asilimia kubwa hawamkubali Samia kuanzia watu wa chini Hadi wa juu .. sukuma gang wamewekeza pakubwa huku na wamebrainwash vichwa vya watu ajabu na Samia analijua Hilo ......na ndio maana anatuma wasaidizi wake kuja kusafisha njia ...Geita power Yao kisiasa ni ndogo ukilinganisha na Mwanza ....na JPM alipendwa mwanza kuliko hata geita
 
hv uko buswelu bado maji ni shida ? ..na mpango wa kutafuta room huko ..nataka nikae mbali na mjini ,,,
Kwa kweli maji ni changamoto utafikiri tupo sijui mji gani wenye ukame. Kwa wiki yanaweza kutoka mara moja au mara mbili. Tunaishi kwa kununua maji ya visimani tu.
Wanasema kuna mradi uko hatua za mwisho ukiisha shida ya maji tutaisahau
 
Aisee ngoja nisubiri kwanza
 
Back
Top Bottom