bronze
JF-Expert Member
- May 24, 2020
- 437
- 823
Mwanza sidhani Kama Kuna sehemu haina access ya umeme, hata kwa kina intelligent upo labda Kama hawajataka tu kuvuta[emoji23][emoji23]Huwezi kuongelea mwanza ukapatoa kwenu misungwi......mbona daraja la JPM Kila siku tunalisifia humu ,, wakati halipo jijj la mwanza,,,,,,,,,.......maji na umeme ni muhimu sana ,......huko nyakagwe Kwa Kina intelligent Hamna maji Wala umeme