Mikdde
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 6,310
- 5,968
BARABARA YA KENYATA
upanuzi wa barabara umekuwa ni kilio Cha wengi .. barabara hii ni njia ya kuingilia mwanza kutokea karibu mikoa yote ya Tanzania isipokuwa simiyu na Mara ..licha ya kuwa lango kuu la usafirishaji mwanza lakin ndio barabara yenye mwonekano wa kizamani usio endana na majiji ya kisasa nasema HIV sio Kwa sababu tu hii njia sio dual carriage pia mifumo yake ya kiusalama ni mibovu na haiendani na wakati pamoja na mahitaji wa watu ..Hali hii inadhihirishwa na ukosefu
taa za kumlikia magari,alama za barabarani,uchakavu wa lami (kuanzia buhongwa Hadi nyegezi) n.k .....
Serikali bado inatafuta pesa za ujenzi wa barabara hii lakini Kuna changamoto kubwa katika ujenzi wa barabara hii ambazo ni
-kuanzia Pepsi Hadi voil itabidi walipe mabilion ya fidia kuondoa viwanda na majengo yaliyopo hapo
-mkuyuni napo sioni nafasi ya kutosha ya ujenzi
Buhongwa na mkolani Kuna sheli za kutosha kwenye hifadhi ya barabara..hata nyegezi terminal ukuta wake uko barabarani ....
Kwa factor hizi serikali itachelewa sana kujenga hii barabara....
USHAURI
kama serikali haina pesa za kutosha bas waboreshe hii road Kwa kuweka mifumo yote Ya usalama barabarani...na kujenga feeder road za mkuyuni Hadi nyakato, buhongwa to igoma ,na butimba via saut to mkolani
upanuzi wa barabara umekuwa ni kilio Cha wengi .. barabara hii ni njia ya kuingilia mwanza kutokea karibu mikoa yote ya Tanzania isipokuwa simiyu na Mara ..licha ya kuwa lango kuu la usafirishaji mwanza lakin ndio barabara yenye mwonekano wa kizamani usio endana na majiji ya kisasa nasema HIV sio Kwa sababu tu hii njia sio dual carriage pia mifumo yake ya kiusalama ni mibovu na haiendani na wakati pamoja na mahitaji wa watu ..Hali hii inadhihirishwa na ukosefu
taa za kumlikia magari,alama za barabarani,uchakavu wa lami (kuanzia buhongwa Hadi nyegezi) n.k .....Serikali bado inatafuta pesa za ujenzi wa barabara hii lakini Kuna changamoto kubwa katika ujenzi wa barabara hii ambazo ni