Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Kirumba ni extension ya Mwanza CBD kulingana na Mwanza city master plan, buzuruga na nyegezi ndio the upcomming CBD.
Mi ninachojua CBD Huwa inakuwaga Moja ..,...Cha zaidi miji mikubwa iliyopangwa inakuwaga na financial district,CBD na , industrial park,......lakin sisi tunashindwa kuvitofautisha ...mfano dar CBD ni kariakoo, financial district ni Posta na industrial park ni mikocheni
 
N kwel ila ili cbd iwe na muoenkn mzur au ivutie huwez kuach magorofa unateganish vip cbd na magorof au jiji na magorof sjaon jiji km ilo dunian
Tusaidiane maana ya CBD
 
Na ndio maana watu hawaendi kununua vitu supermarket. Niliwahi ishi nchi flani miaka sita nikiwa nasoma huko yani bei ya mtaani na ya supermarket ni sawa. Kama kunautofauti ni visenti vichache. Sijui bongo shida nni........
Nahis ishu pia n kod ya pango na kod za serkal mtu mwenye supermarket wanalip kod kubw kw serkal kulinganish na maduk ya kawaid au maching pengne serkal ipunguze kod kwao wanfny uwekezaj mkubw km pale rocky city mall kod yake ya kupanga n kubw hawez kuuza sw na maduk ya kawaid au wamachinga
 
N abbreviation ya central business district pia huitwa financial district ambyo maanake n commercial and business center of a city...inajumuish commercial space and offices
Sawa ...ushaona majiji makubwa duniani ya CBD zaidi ya Moja ?
 
Yan Raisi SSH akitaka kupata credit Moja kubwa sana Kanda ya ziwa apanue barabara ya kenyata road had usagara pamoja na nyerere road had kisesa au nyanguge hili litampa credit sana kwny kampeni Kanda ya ziwa
 
Inatubidi na sisi tubadilike tuwe kama mataifa mengine, bidhaa za supermarkert huwa na vitu vya bei rahisi sana sema watu bado ni waoga wakizadhani huko kuna bei kubwa.
Mbona sometimes supermarket Kuna unafuu kuliko dukani
 
hapa hatuongei mambo ya misungwi tunaongelea jiji letu pendwa la Mwanza
Huwezi kuongelea mwanza ukapatoa kwenu misungwi......mbona daraja la JPM Kila siku tunalisifia humu ,, wakati halipo jijj la mwanza,,,,,,,,,.......maji na umeme ni muhimu sana ,......huko nyakagwe Kwa Kina intelligent Hamna maji Wala umeme
 
Back
Top Bottom