Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Kama ni hvy ni pesa nzur hyo hela nzuri sana af naomba ndani ya kituo cha daladala wazungushe ukuta patapendeza sana
Hakuna umuhimu wa kupiga fence mkuu, kama wanataka kupata mapato kwa kila daladala inayopakia na kushusha abiria wanaweza kufanya hivyo.
 
Ilemela wakijenga parking ya daladala hakika itakuwa stendi bora ya pili Tanzania baada ya mbezi louis(Magufuli).
Huu ni mtazamo binafsi na unatakiwa uheshimiwe, ila kwangu Mimi nyamhongolo haifui dafu kwa kile ki stand cha nyegezi kwa namna yoyote ile
 
Huu ni mtazamo binafsi na unatakiwa uheshimiwe, ila kwangu Mimi nyamhongolo haifui dafu kwa kile ki stand cha nyegezi kwa namna yoyote ile
Ata mimi nina mtazamo kama wako lakini kiukweli najua nyamhongolo ni better than nyegezi, sema kinachopendenzesha nyegezi terminus ni location tu, pale nyegezi ni more developed kuliko mitaa hile ya nyamhongolo.
 
Kuna taarifa nimepata kutoka kwa jamaa yangu ambaye ni staff DIT Mwanza Campus...
Nimemuuliza kuhusu ujenzi wa hapo...

Majibu aliyonipatia ni kua ujenzi utakua ni awamu, na kwa awamu hii ya kwanza ambayo inaendelea wameanza kujenga majengo manne...
1. Teaching Tower (sijajua itakua ni ghorofa ngapi)
2. Administarion Block

3. Hostel za kiume ghorofa mbili

4. Hostel za kike ghorofa mbili

Nikamuuliza pia kuhusu workshop/ kiwanda za MAFUNZO akaniambia watajenga awamu inayofuata...

Kwa kifupi ni kwamba mradi unaendelea kwa awamu ya kwanza kwahiyo tutegemee awamu nyingine kuanza kabla au baada ya hii awamu ya kwanza kukamilika...
 
Huu ni mtazamo binafsi na unatakiwa uheshimiwe, ila kwangu Mimi nyamhongolo haifui dafu kwa kile ki stand cha nyegezi kwa namna yoyote ile
Nyamhongolo wakija kujenga na ile barabara ya Lami patapendeza sana na nyamhongolo itakuwa nzuri kadri siku zinavyoenda sasa hv watu pale wameanza kuwekeza kwa kas sana
 
Nilisikia ilemela wametenga milion 133 kujenga hyo stand mbona ni pesa ndogo sana hyo
Labda wanatumia Force Account.

Mafundi was Mtaani.

Kwani kikubwa ni nini zaidi ya Pavings, vibanda vya kukaa abiria na kutenganisha daladala kwa routes.
 
Nasikia barabara ya mkuyuni uthamini wa fidia umefanyika kwa nyumba zinazoathiriwa na mradi huo.....
 
Tatizo tunajenga stendi Kwa kuigana ... wadau wa stendi tunawaexclude ... stendi ya dodoma Hadi leo haina wapangaji tofauti na mawakala ,na migahawa micahche ,njoo mbezi ni the same .....tunashindwa kuandaa miradi Kwa kutumia participatory frame work ,,,,ndio hizi hasara ....wadau wakubwa wa stendi Africa ni mama ntilie ,machinga ,na wafanya biashara wa kati .....unapotarget banks , supermarket, stendi unakuwa ni kama unapoteza funds ..... however sikatai hata benki zinaweza kupanga lakin lazima tuangalie return ya Mradi ndani ya wakati ...........
Cha kushauri inabidi wananchi waelimike sasa kutoka kuamin kuwa machinga ndio sehemu pekee naweza pata vitu cheap Hadi kuanza kununua supermarket na kufanya miamala ya kibenki
Kwa banks inaweza ku apply lakin kwa supermarket naona ni tatizo kwa sababu si rahisi kwa mtu kwenda stendi kufata supermaket wakati barabarani kuna bidhaa nyingi tu tena kwa bei rahisi
 
Kwa banks inaweza ku apply lakin kwa supermarket naona ni tatizo kwa sababu si rahisi kwa mtu kwenda stendi kufata supermaket wakati barabarani kuna bidhaa nyingi tu tena kwa bei rahisi
Kwa nyegezi ilivyo pale hata supermarket inalipa sana ttz ni nyamhongolo bado mji hajakua kivile
 
Unatoa taarifa nusu nusu theni unatoka nduki eleweka, mradi ni wa nini?, na utatekelezwa lini? Kama ni barabara inaenda wapi na inaanzia wapi? Au ni mradi wa soko tuambie wadau tujue.
Nasikia barabara ya mkuyuni uthamini wa fidia umefanyika kwa nyumba zinazoathiriwa na mradi huo.....
 
Back
Top Bottom