Mwanza City: The Photo Gallery

Huo mradi ulikuwa inaitwa strategic city development project..ulilenga majiji ya kimkakati tu ...ndio walijenga barabara nyingi pale mjini
 

Umeongea Kwa uchungu kaka ...lakin tambua tu , don't underestimate future ya mwanza,,,kila mji una matatizo yake ,na matatizo ya mwanza hayawezi kuisha siku moja .... mbona mwanza miundombinu inajengwa.tusiwe watu wa kulaumu sana tuwe watu wa kudetermine challenge na kuzitafutia ufumbuzi .
 
Chanzo cha butimba kinajengwa kuaccomodate watu laki 4 sasa hapo ndio matatizo yanaanza kwann wasijenge kuaccomodate watu milion 1 kwasababu mwanza inakua sana
Butimba imejengwa Kwa watu wa pembeni mwa mji ambao ni karibu laki 4 ....hao wengine waliobaki wanahudumiwa na chanzo cha capripoint .
 
TARURA wanazingua sana,,,,hizo lami zao ni za mchongo . kabisa
 
Hamna mji Tanzania usio kuwa na vumbi ,we hujakaa dodoma ukaona shida waliyo nayo
 
Butimba imejengwa Kwa watu wa pembeni mwa mji ambao ni karibu laki 4 ....hao wengine waliobaki wanahudumiwa na chanzo cha capripoint .
Hv buhongwa,kishiri,igoma,usagara,kisesa,fela,isangijo,ihayabuyaga,lwanhima,mhandu,nyashishi hzo sehemu hazizid watu laki 4?
 
Nimeona watu mnalalamika . mwanza tunaonewa kwenye miundombinu..vipi hii miradi mikubwa ni gharama ghani imetumika .
daraja la busisi bilion 700
meli bilioni 70
......nje ya dar hamna jiji jingine lilipewa fedha za maendeleo kuzidi mwanza ..

Kwa hyo tulitakiwa tuchague ,, billion 700 zisijenge daraja zijenge vifuatavyo
na hela ingetosha fresh

njia nne Usagara to town -billion 40
njia nne kisesa town -billion 35
Interchange buzuruga -billion 90
feeder roads nyamagana km 70-bilion 100
Feeder roads ilemela km 70-bilion 100
Njia nne kisesa Usagara -billion 25
Njia nne pasiansi buzuruga bilion 15
Uwanja wa Mpira Watu 30000 bilion 50
Apartment za kisasa milima ya mbugani, mabatini na pamba -billion 150
 
njia nne Usagara to town-billion 40
njia nne kisesa town -billion 35
Interchange buzuruga -billion 90
feeder roads nyamagana km 70-bilion 100
Feeder roads ilemela km 70-bilion 100
Njia nne kisesa Usagara -billion 25
Njia nne pasiansi buzuruga bilion 15
Uwanja wa Mpira Watu 30000 bilion 50
Apartment za kisasa milima ya mbugani, mabatini na pamba -billion 150

Daraja la busisi lisingejengwa ...pesa zake zingetosha kujenga hyo miradi
 
Hv kigongo busisi Hadi sasa limefikia asilimia ngap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…