Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Misungwi ni potential sana maana kadri mji unavyojaa ndo misungwi inavyonufaika kwa maana wawekezaji wengi wataenda huko kwa vile ndo sehemu iliyotambalale na isiyo na mbanano!
 
Hv kwann misungwi na magu wasizipandishe hadhi kuwa town council mbona Bunda ni town council af kwa population magu na misungwi Zina population kubwa

Af Hawa latra kwann wasianzishe root ya coaster mwanza to nyanguge ili mji ukue vzur ili wanaoshukia isangijo,bukandwe,ihayabuyaga na matela wapate fulsa manake mji utazd kupanuka
 
Hadhi ya kuwa town council hawatoi tu hv ... wanaangalia pale magu mjini au misungwi je pamefikia hyo hadhi .. Usagara na misungwi mjini ni miji miwili tofauti
 
Af Hawa latra kwann wasianzishe root ya coaster mwanza to nyanguge ili mji ukue vzur ili wanaoshukia isangijo,bukandwe,ihayabuyaga na matela wapate fulsa manake mji utazd kupanuka
Mbona nishawahi ona Costa ya nyashishi -nyanguge
 
Kwa Mwanza ilipofika sidhani kama kuna haja hiyo, naona cha muhimu ni kuboresha huduma zote muhimu hasa barabara.
Kenyatta road ni moja ya barabara ya hovyo mno, imezidiwa! Hivi mbona hawalioni hili kabisa ni uongo kusema serilikali ya jmt haina pesa ya kufumua hicho kibarabara, ukifika pale mkolani darajani utagundua Tanzania bado tunasafari ndefu mno huwezi kusema ile ndo barabara kuu ya mkoa!

Wanaenda kwenye nchi za watu na kupiga mapicha kwenye nchi za watu zilizo na miundombinu Bora kabisa na wanaona fahari tu, kazi kulipana ma 10%yasiyo na kichwa Wala miguu, maposho ya ajabu ajabu tu
 
Aisee ila nyegez stand ni tamu sana uck ukipita na yale mataa utafkr upo paris abiria wote wanageuza shingo kuiangalia
Bwana intelligent Mimi kwa kweli hamna kitu kinaniuma kama kushadadia tu vitu Kama tu stand kwe limji likubwa hivi, stand zinamaana gani Kama mji uliopakana na ziwa eti wananchi wake hawana access ya maji, mibarabara yote ni vumbi tu mingi umechoka, kwa Karne hii ile barabara ya kutoka buhongwa kwenda kishiri ni ya kukosa lami kweli!

Ifike muda tukubali tu huu bado ni mji wa kishamba mno, ni maeneo machache tu ya kueleweka we mwenyewe hili unalijua na ndo ukweli
 
Sawa tupo hapa mzee utaona Kama Kuna kitu kitatokea, tusijifanye Kama hatuijui nchi yetu ndugu, Kuna miradi ilishatengenezewa mpaka renders lakin holaa
 
Umeongea kweli pia kwa uchungu mkubwa asee, hii kitu kiukweli kinauma lakini ngoja tupeane moyo, hiyo barabara ya kutoka buhongwa kwenda kishiri adi igoma jumla ya kilometa 14 ipo kwenye mradi wa tactic mwezi wa tatu itaanza kujengwa pamoja na ya nyamhongolo adi buswelu ya 9.5km, pia kuhusu upanuzi wa barabara ya kenyatta road kuwa njia nne tyr upembuzi na usanifu ulishakamilika kulingana na waziri wa ujenzi muda wowote ujenzi unaweza kuanza.🙏🙏🙏🙏
 
Miradi ya tactic chini ya world bank ni ya uhakika mkulungwa ni jambo la muda tu, tuwe wavumiliza coz hizo miradi zitabadili kabisa taswira ya jiji letu zuri la Mwanza.
 
Umeongea kweli pia kwa uchungu mkubwa asee, hii kitu kiukweli kinauma lakini ngoja tupeane moyo, hiyo barabara ya kutoka buhongwa kwenda kishiri adi igoma jumla ya kilometa 14 ipo kwenye mradi wa tactic mwezi wa tatu itaanza kujengwa pamoja na ya nyamhongolo adi buswelu ya 9.5km, pia kuhusu upanuzi wa barabara ya kenyatta road kuwa njia nne tyr upembuzi na usanifu ulishakamilika kulingana na waziri wa ujenzi muda wowote ujenzi unaweza kuanza.
Sawa let's hope so, ila twende na ukweli project ngapi uliwahi kuziskia wakawa wanasema wapo kwenye feasibility study sijui upembuzi yakinifu halafu badae ukajua ni kamba tu

Tofauti na barabara ya sabasaba-nyamadoke sijaona barabara nyingine ya maana iliyojengwa hivi karibuni licha ya uhitaji kuwa mkubwa
Nb; mbunge wetu mabula wa kiume anatupambania Sana sema ndo hivyo
 
Miradi ya tactic chini ya world bank ni ya uhakika mkulungwa ni jambo la muda tu, tuwe wavumiliza coz hizo miradi zitabadili kabisa taswira ya jiji letu zuri la Mwanza.
Ukiwa hivyo itakuwa Jambo la heri
 
Mkuu wasafiri wanaishi mza kwa nini stendi ukaweke usagara?
Kama kuna umuhimu wa stendi usagara si wajenge yao.
Mtu unatoka ilemela kwenda kupanda basi usagara?
Nchi hii sijui ina matatizo gani.

Kwenye Masterplan mpya ya Jiji inaonesha Usagara, Fela na Kisesa kuwa sehemu ya Jiji lakini mpaka sasa kiuwekezaji Ilemela na Nyamagana wanayakwepa hayo maeneo kwasababu haziwanufaishi kwa sasa.
 
Sawa let's hope so, ila twende na ukweli project ngapi uliwahi kuziskia wakawa wanasema wapo kwenye feasibility study sijui upembuzi yakinifu halafu badae ukajua ni kamba tu

Tofauti na barabara ya sabasaba-nyamadoke sijaona barabara nyingine ya maana iliyojengwa hivi karibuni licha ya uhitaji kuwa mkubwa
Nb; mbunge wetu mabula wa kiume anatupambania Sana sema ndo hivyo
Miradi ikiwa chini ya project fulani mfano hii ya tactic ni lazima ifanyike, lakini ya serikali mfano hiyo ya upanuzi wa barabara ya kenyatta ipo chini ya serikali hiyo ndio ya kuitilia shaka ata mimi sidhani kama itakuja kufanyike labda 2025 hukooo.
 
Nchi hii sijui ina matatizo gani.

Kwenye Masterplan mpya ya Jiji inaonesha Usagara, Fela na Kisesa kuwa sehemu ya Jiji lakini mpaka sasa kiuwekezaji Ilemela na Nyamagana wanayakwepa hayo maeneo kwasababu haziwanufaishi kwa sasa.
Kisesa ni jeshi la mtu mmoja inakua kwa Kasi sana labda usagara ukuaji wake sio wa Kasi af kuhusu upanuzi wa kenyata road Hawa jamaa wanataka waje waombee kura 2025 kiukweli hata barabara ya nyerere inatakiwa ipanuliwe Hadi nyanguge jana nilikuwa kisesa kona ya kayenze kwny stand mpya sasa hv Napo pameanza kuwa na jam sana
 
Umeongea kweli pia kwa uchungu mkubwa asee, hii kitu kiukweli kinauma lakini ngoja tupeane moyo, hiyo barabara ya kutoka buhongwa kwenda kishiri adi igoma jumla ya kilometa 14 ipo kwenye mradi wa tactic mwezi wa tatu itaanza kujengwa pamoja na ya nyamhongolo adi buswelu ya 9.5km, pia kuhusu upanuzi wa barabara ya kenyatta road kuwa njia nne tyr upembuzi na usanifu ulishakamilika kulingana na waziri wa ujenzi muda wowote ujenzi unaweza kuanza.🙏🙏🙏🙏
Ujenzi wa njia nne itategemeana na upatikanaji wa fedha
 
Miradi ikiwa chini ya project fulani mfano hii ya tactic ni lazima ifanyike, lakini ya serikali mfano hiyo ya upanuzi wa barabara ya kenyatta ipo chini ya serikali hiyo ndio ya kuitilia shaka ata mimi sidhani kama itakuja kufanyike labda 2025 hukooo.
Hii mirad Hayati angekuwa ameianzisha hata asilimia 5 ingekuwa uhakika kujengwa lakin kwa mama itakuwa ngumu sana na hv sasa hv mama kuja mwanza ameona ngumu baada ya mapokez yake kudorola kipnd cha nyuma kwny ziara zake mwanza
 
Back
Top Bottom