Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Yaani stendi ya mwanza ijengwe usagara hio itakuwa akili au matope?
Misungwi walikuwa na uwezo wa kuingia ubia na nyamagana wakajenga stendi kubwa na ya kisasa usagara.kwa sababu zifuatazo
1.ni junction ya barabara zinaunganisha mwanza na mikoa mingine
2. Ni junction ya kuelekea station Mpya ya SGR fela
3 ni nje ya mji Kwa hyo kungetoa fursa ya UKUAJI wa mji na kuharakisha ujio wa manispaa ya kisesa
4 kungeboresha usafiri,hasa route za kutoka Usagara kwenda mjini Kwa sababu now ni chache
5 n.k
 
Hata na Mimi nimeshangaa, yani let's say stend ya magufuli ingejengwa kibaha maili moja!
Imagine kuna watu walitaka eti sgr ikomee fela eti tunapanua mji, nilipinga sana kaka.
Uzuri trc kumbe huwa wanaangalia na wao kwenye mitandao maana nilikuja sikia wameligusia siku moja.

Nikawauliza watu imagine unatoka shy kuja mza kwa treni sgr unatumia chini ya Lisaa kufika fela, then kutoka fela kuja mwanza unatumia masaa labda 2.
Ukichukua taxi Unaweza jikuta unalipa nauli sawa na nauli ya treni. Niliwaambia fela iwepo Station na mwanza mjini iwepo Station

Nchi za wenzetu wanajaribu kuweka hizi huduma ndani ya mji na ziko karibu karibu,

Uzuri wa Station kuwa mwanza mjini ni kuwa hapo baadae ni rahisi kufanya usafiri wa treni za mjini.
Mfano mtu anaweza kuishi kwimba na akafanya kazi mwanza mjini.

Kuna mwingine akasema eti kuna foleni kubwa sana kutoka mjini kuja nyegezi, kwahiyo stendi ikihamushwa itapunguza foleni.
Nikamjibu kumbe mabasi hayasababishi foleni maana hayafiki mjini na ukiweka stendi usagara foleni itaanzia mjini mpaka usagara maana vipanya vitaongezeka nk.
Niko UK wameanza kujenga high speed train 320km/hr hii itaunganisha miji yote ile mikubwa 3 yaani London, Birmingham na Manchester,
Pamoja na kwamba hii miji ni mipana na ina usafiri wa kila aina na barabara nyingi nzuri lakini wamehakikisha vituo vya treni vina kuwa mjini kabisa.

Mchina alishaga jaribu hsya mambo ya kupanua mji wakati anaanza kujenga reli, wakaja gundua wanachemsha kuweka vituo nje ya mji, ikabidi wajenge tena kuingiza ndani ya mji.
 
Misungwi walikuwa na uwezo wa kuingia ubia na nyamagana wakajenga stendi kubwa na ya kisasa usagara.kwa sababu zifuatazo
1.ni junction ya barabara zinaunganisha mwanza na mikoa mingine
2. Ni junction ya kuelekea station Mpya ya SGR fela
3 ni nje ya mji Kwa hyo kungetoa fursa ya UKUAJI wa mji na kuharakisha ujio wa manispaa ya kisesa
4 kungeboresha usafiri,hasa route za kutoka Usagara kwenda mjini Kwa sababu now ni chache
5 n.k
Mkuu wasafiri wanaishi mza kwa nini stendi ukaweke usagara?
Kama kuna umuhimu wa stendi usagara si wajenge yao.
Mtu unatoka ilemela kwenda kupanda basi usagara?
 
Kwan Usagara sio mwanza?.....hata hvyo huwezi kuitenganisha Usagara na town Kwa sababu Zina mwingiliano mkubwa ..
Kungeachwa vituo vidogo vya kuchukulia abiria kama ilivyo Leo nata ..Kwa hyo Kuna baadhi ya abiria wangepandia nata ..
Anyway mbona mtu Leo anatoka buhongwa anaenda nyamhongolo kupandia gari za kwenda musoma
 
Hii Nadharia ya huduma mhimu za jamii kama stendi za mabasi kutaka zijengwe nje ya mji ni ya Zama za WW2, mji haupanuliwi na stendi , Yani unajenga stendi nje ya mji lengo ni kupanua mji kweli ? Mji unapanuliwa na ongezeko la watu

Unawashushia watu machakani et unapanua mji , watu wakijaa hyo sehemu unahamisha tena unapeleka Pori , aisee akili za ajabu Sana hzI ....

Nawapongeza Sana waliopambana stendi ya nyegezi ikabaki pale pale , bigup pia Kwa wale waliopambana angalau stend ikajengwa nyamhongolo sio mbaya , stendi ni sehemu ya Kupakia na kushusha abiria sio sehemu ya kurundika Magari ,

Hata Dar es salaam kulitakiwa kuwe na stendi tatu , kutokana na njia kuu zinazoingia mjini , huko mbagala kungekuwa na stendi ya Mabasi ya kusini , mbezi mabasi ya kanda ya Kati, kusini , magharibi , na kanda ya ziwa , tegeta kule kungekuwa na stendi ya Mabasi ya Kaskazini , just kurahsisha kushusha na kupakia abiria
 
Mji unapanuliwa na huduma za jamii ,hamna population inayoenda kujenga makazi kama hamna facilities za huduma kwenye Hilo eneo ... nyegezi Leo pasingekuwa hvyo kama stendi isingejengwa ..unajua stendi inavutia hata uwekezaji mwingine Kam
Petrostation
Hotel na lodges
car service center
Migahawa
Biashara ndogo ndogo na kubwa
Banks ..
Ukitizama buzuruga na nyegezi huwezi bisha kuwa stendi hazina impact kwenye UKUAJI wa mji
 
Mwanza sio Morogoro wala dodoma au Iringa.
Mwanza ni mji mkubwa sana unaupanua uende wapi, duniani kote wanajaribu kusqueeze miji ndio maana wanajenga apartments za maghorofa marefu.

Stendi inajengwa kuhudumia wananchi, haijengwi ili petrol station na Lodge zijengwe.
Hii ni kumpa gharama msafiri za ziada badala ya kumpunguzia mzigo.
Usagara pakijaa tunahamishia stendi Hungumalwa?
 
Guys....nilisikia Kuna upandaji wa miti elfu 9 around the city umeshaanza au yalikuwa maneno tu.?!
Hivi wakazi wa mwanza na swala la kupanda miti hadi msubiri mamlaka?

Kwa mfano kila mkazi wa mwanza akiamua kupanda na kutunza mti mmoja tu, ndani ya miaka mitatu hadi minne ijayo mwanza itakukua na at least miti milioni moja.
 
Shida idadi kubwa ya watu wa Mwanza ni wapangaji, sasa umwambie mtu apande mti halaf ni mpangaji tu sio permanent resident atakuelewa?
 
Mambo vp wakuu..nahitaji kununua eneo maeneo ya kishiri fumagila.. mwenye uziefu na maeneo hayo plz naomba ufanunuz juu ya viwanja vinauzwaje huduma kama maji,umeme, hospital n.k
 
Fumagila kule nasikia Hadi kiwanja Cha laki Saba unapata ...ni pazuri sema maji bado ni tatizo Hadi mradi wa butimba ukamilike nahis tatizo litaisha ..
 
Mwanza sio Morogoro wala dodoma au Iringa.
Mwanza ni mji mkubwa sana unaupanua uende wapi, duniani kote wanajaribu kusqueeze miji ndio maana wanajenga apartments za maghorofa marefu.

Stendi inajengwa kuhudumia wananchi, haijengwi ili petrol station na Lodge zijengwe.
Hii ni kumpa gharama msafiri za ziada badala ya kumpunguzia mzigo.
Usagara pakijaa tunahamishia stendi Hungumalwa?
Mi naamini tayari wew una exposure na miji mingi duniani.hata majiji Yana categories zake ...
Kuna normal cities na mega city .... mwanza bado hatujafika rank ya kuwa mega city .dar na yenyew bado ..sifa za mega City lazima iwe na watu milioni 10 ..na iwe na metropolitan area yenye sub urban za kutosha...ili mwanza iwe rank Moja na majiji kama Paris inatakiwa ikue na iendelezwe katika mpangilio wa kisasa ..swala je ni namna Gani tunakuza mji wetu ?!! ..
Jibu ni kuwekeza miundombinu na huduma maeneo ya pembezoni mwa mji ili kuvutia watu wawekeze huko biashara na makazi .
 
Mwanza sio Morogoro wala dodoma au Iringa.
Mwanza ni mji mkubwa sana unaupanua uende wapi, duniani kote wanajaribu kusqueeze miji ndio maana wanajenga apartments za maghorofa marefu.

Stendi inajengwa kuhudumia wananchi, haijengwi ili petrol station na Lodge zijengwe.
Hii ni kumpa gharama msafiri za ziada badala ya kumpunguzia mzigo.
Usagara pakijaa tunahamishia stendi Hungumalwa?
Idea yangu sio kila wakati tuhamishe ... inajengwa stendi ambayo Iko sustainable Kwa miaka hata 30 ijayo ..huku tukiamin kuwa Baada ya muda flan pengine technology ya usafiri ikabadilika Kwa hyo haitatubidi Tena kujenga stendi,maybe miaka ijayo usafiri wa anga utatumika sana au maybe treni au maybe private transport
 
Back
Top Bottom