Ubinafsi wa halmashauri za mwanza ..una madhara sometimes...sa hv utaona halmashauri za mwanza hazitaki kuingiliana kabisa Kila mtu na vitu vyake ,bila kujali kuwa Kuna maamuzi mengine Yana undermine wilaya zingine .mfano suala la stendi...
Nyamagana walikataa kabisa stendi kujengwa Usagara kisa ipo misungwi ,hawaoni wanaundermine UKUAJI wa mji kuelekea misungwi ,,the same applies Kwa ilemela na kisesa magu ,......sioni umuhimu wa kuwabania misungwi kiasi hicho .......
Leo ilemela na nyamagana Zinafanya project pasipo kushirikiana kabisa wamesahau ni jiji Moja ...nishawahi msikia mkuu wa mkoa aliyepita anasema anatamani kuiona ilemela inakuwa jiji ,nikajiuliza kuna umuhimu Gani wa kuwepo jiji la mwanza .au mwanza jiji haina ilemela ndani yake