Mwanza City: The Photo Gallery

Mwanza City: The Photo Gallery

Stand zetu 2 za kisasa nyegezi na nyamhongolo zinazidi kutrend kwenye mitandao ya kijamii tumshukuru sana hayati magufuli
 
Attachments

  • Screenshot_20221010-072452.jpg
    Screenshot_20221010-072452.jpg
    62.1 KB · Views: 15
Lakin kumbuka hapo pesa Ina nguvu ...watu wa ardhi wakipigwa ten percent Sheria wanaweka pembeni
Shida ndiyo hiyo, sijui ni kwa tz pekee au Africa yote. Watu wapo radhi wapindishe sheria kwa sababu ya rushwa.
Ni kama vile husema 'mi napita atakayekuja atakoma'
 
Nera penyewe hupati kibali cha ujenzi kama nyumba sio Ghorofa itakuwa hapo Natta
 
Kumekucha barabara za kuingilia na kutokea stand ya nyegezi zimeanza kujengwa zile Lami uchwara zote zimevunjwa halafu kwa taarifa nilizozipata ni kuwa stand ya nyabulogoya itatumika kwa usafir wa wilayan hapahapa mwanza kama ngudu,sarawe na sehemu zingine
 
Watu wa tanesco naona wanahamisha nguzo kwenye barabara za kuingilia na kutokea
 
Kumekucha barabara za kuingilia na kutokea stand ya nyegezi zimeanza kujengwa zile Lami uchwara zote zimevunjwa halafu kwa taarifa nilizozipata ni kuwa stand ya nyabulogoya itatumika kwa usafir wa wilayan hapahapa mwanza kama ngudu,sarawe na sehemu zingine
Itakuwa vizuri maana kujaza hiace na costa stendi kama hiyo wakati mwingine zinachafua madhari na hadhi ya stendi
 
Kumekucha barabara za kuingilia na kutokea stand ya nyegezi zimeanza kujengwa zile Lami uchwara zote zimevunjwa halafu kwa taarifa nilizozipata ni kuwa stand ya nyabulogoya itatumika kwa usafir wa wilayan hapahapa mwanza kama ngudu,sarawe na sehemu zingine

Dah sijui ni mimi ila izo nya nya mwanza zingine zinazingua japo ndo sehem za majina ya mji ya asili na kuna mengine ni marefu mno na magum kama ilo NYABULOGOYA lingekua fup kama logoya atlist mda mwingine majina hurudisha hadhi ya sehem nyuma ndo maana maeneo yenye majina mafupi hua yanawahi kujurikana sana nakua maarufu
 
Kumekucha barabara za kuingilia na kutokea stand ya nyegezi zimeanza kujengwa zile Lami uchwara zote zimevunjwa halafu kwa taarifa nilizozipata ni kuwa stand ya nyabulogoya itatumika kwa usafir wa wilayan hapahapa mwanza kama ngudu,sarawe na sehemu zingine
Mwanza CC wametumia akili kubwa, hiyo stand ya Nyabulogoya wai modernize kama stand ya simu 2000 itakuwa chanzo kingine kikubwa cha mapato. Ilemela waache wazubae tu
 
Kumekucha barabara za kuingilia na kutokea stand ya nyegezi zimeanza kujengwa zile Lami uchwara zote zimevunjwa halafu kwa taarifa nilizozipata ni kuwa stand ya nyabulogoya itatumika kwa usafir wa wilayan hapahapa mwanza kama ngudu,sarawe na sehemu zingine
Wapajenge sasa Hilo vumbi la hapo si poa kwa WAKAZI wa maeneo hayo
 
Back
Top Bottom