Afu nilchogundua watu weng nchin walikua hawaijui mwanz na walidhn n mji wa kawaid km iringa au babt wengne hawajuag km N jiji nmesom na watu weng hawajui na hate mtaan pia ila wakiend mwanz wanrud wanshgngaa san wanasem mwanz n pazur san n km dar tu kupitia media ndo nmeon watu weng wamekua na plan mbalmbal za kwend kutalii mwanz na wameon kumbe kun mji mkubw na mzur nje ya dar so hua watu wanaichukulia poa weng hawajawai kufik mwnz...hakun aliefik mwnz akaisem vibay n kwmba tunatamn iwe zaid ya hapo hasa miundombino itakua kituo cha utalii mkubw ilivo to ukiondoa majengo inapendeza as jiulize wakiwekez vzur itakua home of tourism Tanzania. ...n tofaut na seem zingne za kitalii kwmba lazm uende porin ukaone wanyam sjui vtu gan mwanz unatalii ukiw mjin milima ipo town uoto wa asil ziwaLipo mjin sanaane ipo mjin lkn serkal imekalia dhahbu afu inachimba chinMilima ya Mwanza city ni kama Lulu kwenye tope, ndio maana wa Brazil walichungulia fursa huko, siasa ilivyo na nguvu wawekezaji wakapotezwa.

