Aisee me huwa ninawazo la ajabu Sana huwa nawaza siku mapesa mengi yakinitembelea lazima niinunue pamba fc then naweka mpunga wa kutishaBaada ya Yanga na Simba sidhani kuna timu inayoweza kuifikia Pamba FC ya miaka hiyo.Natamani ile timu irudi
Hakika buhongwa ni kubwa xn.Buhongwa kubwa mnoo inatakiwa izalishe kata zingine 3
Landforms za buhongwa ni miamba tu hamna sehemu tambarare
Nakumbumba sana fungulia dog dkk za majeruhi watu tulikua tunateremka ule mlima wa Kirumba kule Kwa speed ya ajabu...Bubu alikuwa ndio nani? tupeni madini ya zamani.
Nakumbumba sana fungulia dog dkk za majeruhi watu tulikua tunateremka ule mlima wa Kirumba kule Kwa speed ya ajabu...
Bubu anafungua malango watu tunaenda kumalizia dkk tano za mwisho...
buhongwa si Ina kata 3 tayari au ..Buhongwa kubwa mnoo inatakiwa izalishe kata zingine 3
Unakaa buhongwa Gani yenye miamba mingi hyo. ...Landforms za buhongwa ni miamba tu hamna sehemu tambarare
Kiukweli nyumba ulizopost ni za kawaida sana .. ukilinganisha na nyumba ambazo zipo nyegezi,..mkolani, buhongwa, kanyerere,mhandu ,..n.kKaribu Ilemela
View attachment 2376471
Mikdde asee, unanikatilia me naishi buhongwa mkuuUnakaa buhongwa Gani yenye miamba mingi hyo. ...
Maeneo ya kuelekea central buhongwa,pale center,Kuna miamba Gani ....je wanaokaa kata ya bugarika,butimba ,wasemeje sasa
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mkolani na buhongwa nakataa, huko mwingine upo sawa kabisaKiukweli nyumba ulizopost ni za kawaida sana .. ukilinganisha na nyumba ambazo zipo nyegezi,..mkolani, buhongwa, kanyerere,mhandu ,..n.k
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Tuache ku-guessNa lile jengo la ghana wameshafunika floor ya nane wanaweka matoleo ya floor ya tisa, mkumbuke hili jengo lina underground.
Bora uwe unapanda bajaji ukifika pale ilemela kanisani.Hamna usafiri mgumu kama wa igombe .yaani mule kusimama ni lazima ..ndani ya daladala mule ni kijita,kikurya,kisukuma,kikerewe full .zinajaza .. sijawahi safiri comfortably kuelekea igombe.plus vumbi la pale tx inakuwaga ni chaos tupu
Bajaj Kanisani mpaka Igombe nauli bei gani???Bora uwe unapanda bajaji ukifika pale ilemela kanisani.
Ni elfu moja tu mkuu.Bajaj Kanisani mpaka Igombe nauli bei gani???
Sawa tajitaidi sana nikiwa free, nazani siku ya jmosi nitaulizia asee๐๐๐Tuache ku-guess
Nenda hayo ongea na mafundi uliza litakuwa na floor ngapi?
Jifanye hata unatafuta kazi ๐๐
Walishaanza kujengaView attachment 2377715
Naona mpango wa kuionganisha Kabuhoro na Kitangiri kwa lami kupitia Ibanda unatimia. Nakumbuka zamani ukitaka kwenda town lazima ushuke Polisi Kirumba kupata Daladala, sasa hivi hata ukiwa Ibanda unapata usafiri pamoja na changamoto ya barabara iliyokuwepo. Hiki kipande kinatakiwa kikaungane na barabara ya Mwaloni au Kanisa la Anglican Kirumba