Hv unajua daladala za igombe zimeandikwajemm nipo nyamagana ila ilemela wanakuja kasi sana na maeneo mengi ya ilemela yamejengeka sana huwez kuta mabati meupe mengi
Mimi ndio maana hukuti natupia picha za uswazi au milimani, wasioipenda mza watume hizo na mimi nitume hizohizo never.Tusitume picha mbovu image ya Uzi itaharibika🤣🤣🤣🤣🤣
Hv unajua daladala za igombe zimeandikwaje. IGOMBE TO MZA .,,igombe kwenda mwanza . ilemela sio mwanza
Sisi wa zamani tulikuwa tunaita express.Hv unajua daladala za igombe zimeandikwaje. IGOMBE TO MZA .,,igombe kwenda mwanza . ilemela sio mwanza
Hamna usafiri mgumu kama wa igombe .yaani mule kusimama ni lazima ..ndani ya daladala mule ni kijita,kikurya,kisukuma,kikerewe full .zinajaza .. sijawahi safiri comfortably kuelekea igombe.plus vumbi la pale tx inakuwaga ni chaos tupuSisi wa zamani tulikuwa tunaita express.
Na konda akiita abiria anasema, mfano yuko igoma anapiga debe akisema nyakato mabatini mza.
Tehteh
Hizo ni facilities za mkoa .zinawekwa sehemu yoyote ,hata ngudu huko .Kwa hyo sio kitu Cha kujivunia ...mi hoja sio wapi kuzuri kuzidi kwingine .Bali kubainisha wapi Pako strategic na mtu anashauriwa akaishi ....mi namshauri mtu Aishi nyamagana Kwa sababusasa rockcity mall si ndo identity ya jiji iko wapi sasa, malaika beach resort iko wapi, airport Iko wapi, ccm kirumba iko wapi, kwa hiyo mkuu tukubali tu jamaa wanetupiga gap
Kwangu mimi huwa naona hata capripoint haioni ndani kwa Bwiru.sasa rockcity mall si ndo identity ya jiji iko wapi sasa, malaika beach resort iko wapi, airport Iko wapi, ccm kirumba iko wapi, kwa hiyo mkuu tukubali tu jamaa wanetupiga gap
Beach zote ambazo watu wanaweza kuogelea ziko Ilemela.sasa rockcity mall si ndo identity ya jiji iko wapi sasa, malaika beach resort iko wapi, airport Iko wapi, ccm kirumba iko wapi, kwa hiyo mkuu tukubali tu jamaa wanetupiga gap
Mimi nilisafiri zamani sana, kulikuwa kuna gari moja tu ikienda unasubiri irudi, dah maisha hayaHamna usafiri mgumu kama wa igombe .yaani mule kusimama ni lazima ..ndani ya daladala mule ni kijita,kikurya,kisukuma,kikerewe full .zinajaza .. sijawahi safiri comfortably kuelekea igombe.plus vumbi la pale tx inakuwaga ni chaos tupu
Mimi nilisafiri zamani sana, kulikuwa kuna gari moja tu ikienda unasubiri irudi, dah maisha haya
Kuna interaction kubwa kati ya Miji ya Mwanza na Bukoba...so kukua kwa mwanza ni kukua kwa Bukoba pia..Aisee nipo mv Victoria hapa kazi tu humo ndani balaa kuna restaurant za hatar viwanja balaa cjui burigi chato cjui ile meli ikikamilika si itakuwa balaa na utalii toshaabiria ni wengi sana kwny meli
Mimi nitaanza kuwachana kwenye post zao za vyoo/ madarasa na vituo vya afya. Sio kitu cha kujibrag kwenye halmashauri zenye mapatoHawana exposure ata mimi hii kitu huwa naichukia napenda nikute miradi ya barabara, miradi mikubwa mikubwa.
Igombe siku hizi magari mengi, shida ilikuwa Kayenze kulikuwa na waarabu fulani pale Nera walikuiwa wanamiliki bus linaitwa Digidigi, nakumbuka tokea ninaoma nursery pale KKKT Makongoro mpaka naaliza chuo mzigo bado unapiga kazi.Mimi nilisafiri zamani sana, kulikuwa kuna gari moja tu ikienda unasubiri irudi, dah maisha haya
Utawachana wapi ....humu hawamoMimi nitaanza kuwachana kwenye post zao za vyoo/ madarasa na vituo vya afya. Sio kitu cha kujibrag kwenye halmashauri zenye mapato
Igombe siku hizi magari mengi, shida ilikuwa Kayenze kulikuwa na waarabu fulani pale Nera walikuiwa wanamiliki bus linaitwa Digidigi, nakumbuka tokea ninaoma nursery pale KKKT Makongoro mpaka naaliza chuo mzigo bado unapiga kazi.
Digidigi dah, nilikuwaga naliona.Mimi nitaanza kuwachana kwenye post zao za vyoo/ madarasa na vituo vya afya. Sio kitu cha kujibrag kwenye halmashauri zenye mapato
Igombe siku hizi magari mengi, shida ilikuwa Kayenze kulikuwa na waarabu fulani pale Nera walikuiwa wanamiliki bus linaitwa Digidigi, nakumbuka tokea ninaoma nursery pale KKKT Makongoro mpaka naaliza chuo mzigo bado unapiga kazi.
Kukua kwa mji kulizimeza hizo gari, Hiace zikageuza Nyakato sokoni kama kituo cha njiani tu. Mwaloni-Kisesa, Bwiru - Machinjion, Airport - Kishiri, Kisesa - BuhongwaDigidigi dah, nilikuwaga naliona.
Hivi zile express za zamani hasa njia ya Nyakato sokoni zilienda wapi?
Watakuwepo wanasoma kimya kimya.Utawachana wapi ....humu hawamo
Hivi hiki kizazi cha sasa wanajua ule uwanja wa CCM kirumba tulikuwa tunaujaza kuangalia mechi za Pamba?.Kukua kwa mji kulizimeza hizo gari, Hiace zikageuza Nyakato sokoni kama kituo cha njiani tu. Mwaloni-Kisesa, Bwiru - Machinjion, Airport - Kishiri, Kisesa - Buhongwa
Noma sana enzi za Bubu (RIP).Hivi hiki kizazi cha sasa wanajua ule uwanja wa CCM kirumba tulikuwa tunaujaza kuangalia mechi za Pamba?.
Simba na Yanga zilikuwa hazisogezi pua.
Na je wanajua pamba ilishawahi kuwa bingwa wa Tanzania ikashiriki klabu bingwa Afrika ikaweka rekodi kwa kuifunga timu moja ya Madagascar 17-0.
Usalama utakuwepo, sio fedha za ndani na wafadhili wanataka waone matokeo ndio waendelee kufadhili miradi mingine. Naona hi sub aliyezingua MulamulaBashungwa kaondolewa Tamisemi, tactic kuna usalama kweli?